Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kero za wakulima wa miwa Mikumi zatafutiwa dawa

Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule maarufu kwa jina la ‘Profesa J’ amewaomba wakulima wa miwa wa bonde la Ruhembe kumpa wiki mbili za kujibu kero za Kiwanda cha Sukari Kilombero baada ya kukutana na viongozi wa kiwanda hicho na wa Serikali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kero ya ada shule binafsi zatafutiwa tiba

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Anne KilangoSERIKALI imetangaza kumpata Mtaalamu Mwelekezi, ambaye ameanza kazi jana kuangalia suala la ada elekezi katika shule binafsi nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Wakulima wa miwa kupewa mashamba

Ofisi ya Rais kupitia Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (Mkurabita), imewataka wakulima wa miwa katika Wilaya za Kilosa na Kilombero kujitokeza katika zoezi la urasimishaji mashamba.

 

9 years ago

Mwananchi

Bodi: Miwa ya wakulima Kilombero ilikosa ubora

Bodi ya Sukari Tanzania imesema Kiwanda cha Sukari cha Kilombero cha mkoani Morogoro, kilitakaa kuchukua miwa kwa wakulima wanaokizunguka kutokana na kukosa ubora baada ya kukatwa na kuchomwa moto.

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA KUHUSU UTATUZI WA MGOGORO WA WAKULIMA WA MIWA KILOMBERO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UTATUZI WA MGOGORO WA WAKULIMA WA MIWA KILOMBERO Bodi ya Sukari Tanzania imefuatilia na kubaini chanzo cha malalamiko ya wakulima wa miwa wanaozunguka Kiwanda cha Sukari cha Kilombelo (ILOVO).  
Akizungumza katika taarifa yake, Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Sukari Tanzania Bwana Henry Semwanza alisema kuwa, chanzo cha malalamiko yanatokana na kiwanda kuharibika bila kutarajia na kusimamisha uzalishaji kuanzia tarehe 14 hadi 18...

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA KUHUSU MADAI YA WAKULIMA WADOGO WA MIWA WA KILOMBERO KUKOSA SOKO

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika Bibi Sophia Kaduma ameiagiza Bodi ya Sukari Tanzania, kushughulikia mara moja madai ya wakulima wadogo wa  miwa (outgrowers) katika Kiwanda cha Sukari cha Kilombero kilichopo Mkoani Morogoro  yaliotokana na miwa yao kutonunuliwa na kiwanda. 
Katika agizo hilo, Katibu Mkuu Bibi Sophia Kaduma ameiagiza Bodi ya Sukari Tanzania kukuta  na Uongozi wa Kiwanda  cha Sukari cha Kilombero na  ule wa wakulima wadogo wa miwa  ili kupata ufumbuzi wa kudumu...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kero za wakulima Tanzania

Ukosefu wa soko la uhakika kwa wakulima na miundo mbinu duni ya barabara ni miongoni mwa changamoto kuu kwa wakulima Tanzania.

 

11 years ago

Mwananchi

Bodi za mazao zatakiwa kutatua kero za wakulima

Bodi za mazao nchini zimetakiwa kutatua kero mbalimbali zinazowakabili wakulima ili kuwajengea uwezo wa kuzalisha kwa wingi na kufikia mahitaji ya soko la ndani na nje.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani