TAARIFA KUHUSU MADAI YA WAKULIMA WADOGO WA MIWA WA KILOMBERO KUKOSA SOKO
![](http://2.bp.blogspot.com/-ONvPfBo393g/VlRgT0jFYrI/AAAAAAAIIPI/4xAs3AEr8_w/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-11-24%2Bat%2B4.03.10%2BPM.png)
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika Bibi Sophia Kaduma ameiagiza Bodi ya Sukari Tanzania, kushughulikia mara moja madai ya wakulima wadogo wa miwa (outgrowers) katika Kiwanda cha Sukari cha Kilombero kilichopo Mkoani Morogoro yaliotokana na miwa yao kutonunuliwa na kiwanda.
Katika agizo hilo, Katibu Mkuu Bibi Sophia Kaduma ameiagiza Bodi ya Sukari Tanzania kukuta na Uongozi wa Kiwanda cha Sukari cha Kilombero na ule wa wakulima wadogo wa miwa ili kupata ufumbuzi wa kudumu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Aec7jUwpfUA/Vl2YbbI7mNI/AAAAAAAIJg4/8kONKsZtnic/s72-c/New%2BPicture.png)
TAARIFA KUHUSU UTATUZI WA MGOGORO WA WAKULIMA WA MIWA KILOMBERO
![](http://4.bp.blogspot.com/-Aec7jUwpfUA/Vl2YbbI7mNI/AAAAAAAIJg4/8kONKsZtnic/s1600/New%2BPicture.png)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UTATUZI WA MGOGORO WA WAKULIMA WA MIWA KILOMBERO Bodi ya Sukari Tanzania imefuatilia na kubaini chanzo cha malalamiko ya wakulima wa miwa wanaozunguka Kiwanda cha Sukari cha Kilombelo (ILOVO).
Akizungumza katika taarifa yake, Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Sukari Tanzania Bwana Henry Semwanza alisema kuwa, chanzo cha malalamiko yanatokana na kiwanda kuharibika bila kutarajia na kusimamisha uzalishaji kuanzia tarehe 14 hadi 18...
9 years ago
Mwananchi02 Dec
Bodi: Miwa ya wakulima Kilombero ilikosa ubora
9 years ago
StarTV24 Nov
Zaidi ya tani 250 za miwa zatupwa Kilombero kwa  Madai Ya Kutofaa Kwa Uzalishaji
Wakulima wa miwa wilayani kilombero wamepata hasara ya zaidi ya shilingi Milioni 30 baaada ya kiwanda cha sukari cha ILOVO kilichopo wilayani humo kukataa kuchukua tani 250 za miwa iliyovunwa kwenye mashamba ya wakulima hao, kwa madai kuwa miwa hiyo imekaa muda mrefu baada ya kuvunwa na hivyo kutofaa kwa uzalishaji wa sukari.
Wakulima wanaulalamikia uongozi wa kiwanda hicho kwa hasara waliyopata kwani novemba 14 kiwanda kiliagiza wakulima kuanza kuvuna miwa yao , ambapo wakulima...
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
Kampeni ya GROW yaendesha mdahalo wa kuhamasisha wakulima wadogo wadogo wanawake
10 years ago
Vijimambo02 Oct
KAMPENI YA HAKI YA UCHUMI KATIKA MASWALA YA KILIMO YAENDESHA MDAHALO WA KUHAMASISHA WAKULIMA WADOGO WADOGO HUSUSANI WANAWAKE.
11 years ago
Mwananchi11 Mar
Wakulima wa miwa kupewa mashamba
9 years ago
Mwananchi16 Dec
Kero za wakulima wa miwa Mikumi zatafutiwa dawa
9 years ago
VijimamboUCHAFU WA MAGANDA YA MIWA WAZIBA MTARO WA MAJI MACHAFU SOKO LA MIEMBENI MJINI DODOMA
Maji machafu ambayo yamekuwa...