Bodi: Miwa ya wakulima Kilombero ilikosa ubora
Bodi ya Sukari Tanzania imesema Kiwanda cha Sukari cha Kilombero cha mkoani Morogoro, kilitakaa kuchukua miwa kwa wakulima wanaokizunguka kutokana na kukosa ubora baada ya kukatwa na kuchomwa moto.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Aec7jUwpfUA/Vl2YbbI7mNI/AAAAAAAIJg4/8kONKsZtnic/s72-c/New%2BPicture.png)
TAARIFA KUHUSU UTATUZI WA MGOGORO WA WAKULIMA WA MIWA KILOMBERO
![](http://4.bp.blogspot.com/-Aec7jUwpfUA/Vl2YbbI7mNI/AAAAAAAIJg4/8kONKsZtnic/s1600/New%2BPicture.png)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UTATUZI WA MGOGORO WA WAKULIMA WA MIWA KILOMBERO Bodi ya Sukari Tanzania imefuatilia na kubaini chanzo cha malalamiko ya wakulima wa miwa wanaozunguka Kiwanda cha Sukari cha Kilombelo (ILOVO).
Akizungumza katika taarifa yake, Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Sukari Tanzania Bwana Henry Semwanza alisema kuwa, chanzo cha malalamiko yanatokana na kiwanda kuharibika bila kutarajia na kusimamisha uzalishaji kuanzia tarehe 14 hadi 18...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ONvPfBo393g/VlRgT0jFYrI/AAAAAAAIIPI/4xAs3AEr8_w/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-11-24%2Bat%2B4.03.10%2BPM.png)
TAARIFA KUHUSU MADAI YA WAKULIMA WADOGO WA MIWA WA KILOMBERO KUKOSA SOKO
![](http://2.bp.blogspot.com/-ONvPfBo393g/VlRgT0jFYrI/AAAAAAAIIPI/4xAs3AEr8_w/s640/Screen%2BShot%2B2015-11-24%2Bat%2B4.03.10%2BPM.png)
Katika agizo hilo, Katibu Mkuu Bibi Sophia Kaduma ameiagiza Bodi ya Sukari Tanzania kukuta na Uongozi wa Kiwanda cha Sukari cha Kilombero na ule wa wakulima wadogo wa miwa ili kupata ufumbuzi wa kudumu...
11 years ago
Mwananchi11 Mar
Wakulima wa miwa kupewa mashamba
9 years ago
StarTV24 Nov
Zaidi ya tani 250 za miwa zatupwa Kilombero kwa  Madai Ya Kutofaa Kwa Uzalishaji
Wakulima wa miwa wilayani kilombero wamepata hasara ya zaidi ya shilingi Milioni 30 baaada ya kiwanda cha sukari cha ILOVO kilichopo wilayani humo kukataa kuchukua tani 250 za miwa iliyovunwa kwenye mashamba ya wakulima hao, kwa madai kuwa miwa hiyo imekaa muda mrefu baada ya kuvunwa na hivyo kutofaa kwa uzalishaji wa sukari.
Wakulima wanaulalamikia uongozi wa kiwanda hicho kwa hasara waliyopata kwani novemba 14 kiwanda kiliagiza wakulima kuanza kuvuna miwa yao , ambapo wakulima...
9 years ago
Mwananchi16 Dec
Kero za wakulima wa miwa Mikumi zatafutiwa dawa
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Wakulima walalamikia ubora wa dawa
BAADHI ya wakulima kutoka mkoani Mbeya wamelalamikia dawa za kilimo aina ya Karate 50 ec na Selecron 720 ec kuwa hazina ubora. Wakulima hao waliowakilishwa na John Mwaipopo, walisema dawa...
9 years ago
Mwananchi22 Dec
Vigezo ubora wa mazao vyagharimu wakulima
11 years ago
Mwananchi11 Aug
Bodi za mazao zatakiwa kutatua kero za wakulima