Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA KUHUSU UTATUZI WA MGOGORO WA WAKULIMA WA MIWA KILOMBERO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UTATUZI WA MGOGORO WA WAKULIMA WA MIWA KILOMBERO Bodi ya Sukari Tanzania imefuatilia na kubaini chanzo cha malalamiko ya wakulima wa miwa wanaozunguka Kiwanda cha Sukari cha Kilombelo (ILOVO).  
Akizungumza katika taarifa yake, Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Sukari Tanzania Bwana Henry Semwanza alisema kuwa, chanzo cha malalamiko yanatokana na kiwanda kuharibika bila kutarajia na kusimamisha uzalishaji kuanzia tarehe 14 hadi 18...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TAARIFA KUHUSU MADAI YA WAKULIMA WADOGO WA MIWA WA KILOMBERO KUKOSA SOKO

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika Bibi Sophia Kaduma ameiagiza Bodi ya Sukari Tanzania, kushughulikia mara moja madai ya wakulima wadogo wa  miwa (outgrowers) katika Kiwanda cha Sukari cha Kilombero kilichopo Mkoani Morogoro  yaliotokana na miwa yao kutonunuliwa na kiwanda. 
Katika agizo hilo, Katibu Mkuu Bibi Sophia Kaduma ameiagiza Bodi ya Sukari Tanzania kukuta  na Uongozi wa Kiwanda  cha Sukari cha Kilombero na  ule wa wakulima wadogo wa miwa  ili kupata ufumbuzi wa kudumu...

 

9 years ago

Mwananchi

Bodi: Miwa ya wakulima Kilombero ilikosa ubora

Bodi ya Sukari Tanzania imesema Kiwanda cha Sukari cha Kilombero cha mkoani Morogoro, kilitakaa kuchukua miwa kwa wakulima wanaokizunguka kutokana na kukosa ubora baada ya kukatwa na kuchomwa moto.

 

5 years ago

Michuzi

TUMESHERIA YAKABIDHI TAARIFA YA UTAFITI KUHUSU UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDHI



TUME YA KUREKEBISHA SHERIA YAKABIDHI TAARIFA KUHUSU MAPITIO YA SHERIA ZINAZOSIMAMIA UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDHI

Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA

Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania imekabidhi Taarifa ya Mapitio ya Sheria Zinazosimammia Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi nchini kwa Waziri wa Katiba ba Sheria Dkt Balozi Augustine Mahiga.

Taarifa hiyo imekabidhiwa kufuatia Tume ya Kurekebisha Sheria kufanya utafiti baada ya kupokea maelekezo ya Wizara ya Katiba na Sheria yakitaka kupitia Mfumo wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MGOGORO WA ARDHI ULIODUMU KWA MIAKA 15 BILA UTATUZI WAMALIZWA NA MH.LUKUVI.

Hatimaye mgogoro wa ardhi wa zaidi hekta 200 baina ya wananchi wa chasimba na uongozi wa kiwanda cha saruji cha Twiga umemalizwa na waziri wa nyumba na maendeleo ya makazi Mhe.Wiliam Lukuvi akitangaza kubadili matumizi ya ardhi hiyo kuwa ya makazi yao kutoka mikononi kiwanda kama eneo la kuchimba madini.

Waziri Lukuvi ambaye ameandika historia katika mgogoro huo uliodumu kwa zaidi ya miaka 15 alifuatana na uongozi wa kiwanda,manispaa Kinondoni,Tanesco,mbunge wa kawe idara ya maji,piolisi na...

 

11 years ago

Mwananchi

Wakulima wa miwa kupewa mashamba

Ofisi ya Rais kupitia Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (Mkurabita), imewataka wakulima wa miwa katika Wilaya za Kilosa na Kilombero kujitokeza katika zoezi la urasimishaji mashamba.

 

9 years ago

StarTV

Zaidi ya tani 250 za miwa zatupwa Kilombero kwa  Madai Ya Kutofaa Kwa Uzalishaji

 

Wakulima wa miwa wilayani  kilombero wamepata hasara ya zaidi ya shilingi Milioni 30 baaada ya kiwanda cha sukari cha ILOVO kilichopo wilayani humo  kukataa kuchukua tani 250 za miwa iliyovunwa kwenye mashamba ya wakulima hao, kwa madai kuwa  miwa hiyo imekaa muda mrefu baada ya kuvunwa na hivyo kutofaa kwa uzalishaji wa sukari.

Wakulima wanaulalamikia uongozi wa kiwanda hicho  kwa hasara waliyopata  kwani  novemba 14 kiwanda kiliagiza   wakulima kuanza kuvuna miwa yao , ambapo wakulima...

 

9 years ago

Mwananchi

Kero za wakulima wa miwa Mikumi zatafutiwa dawa

Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule maarufu kwa jina la ‘Profesa J’ amewaomba wakulima wa miwa wa bonde la Ruhembe kumpa wiki mbili za kujibu kero za Kiwanda cha Sukari Kilombero baada ya kukutana na viongozi wa kiwanda hicho na wa Serikali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mgogoro wakulima, wafugaji waendelea

WAKULIMA wa Wilaya ya Kiteto, Manyara, wameomba serikali iwape kibali cha kuwaondoa wafugaji kama yenyewe serikali imeshindwa kutatua mgogoro huo ambao umedumu kwa miaka mingi. Wakulima walitoa kauli hiyo juzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani