Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


morogoro mambo mswano, mpunga kibao

 Hapa ni Morogoro karibu ambapo mpunga umeanikwa juani kabla ya kukobolewa. Imeelezwa kuwa mavuno ya mpunga mkoani Morogoro mwaka huu yamekuwa mazuri na biashara inashamiri. Bei hadi leo .tunapita hapo ilikuwa shilingi 1,300/- kwa kilo moja.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAMBO YAANZA KUWA MSWANO UKUMBI MPYA WA CCM MJINI DODOMA

Muonekano wa nje wa Jengo jipya la Ukumbi wa Mikutano wa kisasa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Dodoma. Ukumbi huu utaanza kutumika rasmi Julai 10 - 12, 2015 wakati wa Mkutano Mkuu wa CCM wa kupitisha jina la Mgombea Urais atakayeipeperusha bendera ya CCM kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu. Ukumbi huu unauwezo wa kuchukua Watu zaidi ya 3000. Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akiwaongoza baadhi ya wanahabari waliotembelea Ukumbi huo leo. Muonekano wa ndani...

 

10 years ago

Michuzi

mambo ni mswano kwa vijana wa mtwara, kampuni ya Statoil yaendesha shindano la kuwaendeleza

 Mkurugenzi mtendaji wa Statoil Hulge Lund (Kushoto) akitumia moja ya kompyuta za maabara itakayotumika kuendeleza vijana wa Mtwara katika shindano la Mashujaa wa Kesho linaloendeshwa na Statoil. Kulia ni Katibu tawala wa Mkoa wa Mtwara Bw. Alfred Luanda na katikati ni mmoja wa wanafunzi waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa shindano hilo. Baadhi ya vijana waliohudhulia hafla hiyo katika Maabara ya komputa zilizounganishwa katika mtandao wa intanet, komputa hizo zitatumika kuwafundisha vijana...

 

9 years ago

Dewji Blog

RIPOTI MAALUM:Mabadiliko ya Tabianchi yalivyoathiri zao la mpunga Mkoani Morogoro kwa virusi vya Ugonjwa wa Kimyangu

Mwandishi wa makala hii Andrew Chale akishuhudia mpunga huoMwandishi wa Makala haya, Andrew Chale, ambaye pia ni Mhariri wa mtandao (blog) ya modewjiblog.com, akiwa katika moja ya shamba la Mpunga  la Mkulima Bwana Nguji, Kijiji cha Mtimbira, Wilayani Ulaanga  Mkoa wa Morogoro -Tanzania hivi karibuni. ( Picha na modewjiblog).

Na Andrew Chale, Modewjiblog

[Morogoro, Tanzania] Zikiwa zimebaki siku zaidi ya 90, kuelekea mkutano mkuu wa 21 wa nchi wanachama wa Mkataba wa Mabadiriko ya Nchi (COP21) unaotarajiwa kufanyika Paris , Ufaransa, Desemba mwaka...

 

10 years ago

Michuzi

katibu mkuu wizara ya mambo ya ndani awatembelea wajumbe wa kikao kazi cha mambo ya ndani mjini morogoro

Katibu Mkuu wa wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abduwakil akizungumza na kuwapongeza wajumbe wa Kikao Kazi cha Uandaaji wa Mpango wa Ununuzi na Mpango Kazi wa wizara yake wa mwaka wa fedha 2015/2016 katika kazi hicho kinachoendelea mjini Morogoro.Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mwamini Malemi akitoa mwongozo wa majadiliano kwa Wakuu wa Idara, Maafisa Ununuzi, Maafisa Bajeti na Wakurugenzi Wasaidizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi baada ya kupokea taarifa ya...

 

10 years ago

GPL

TIMU ZA WIZARA YA MAMBO YA NDANI ZAONGOZA UVUTAJI WA KAMBA SHIMIWI MOROGORO

Timu ya wavutaji kamba wanaume ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ikiwavuta wapinzani wao (hawapo pichani) Wizara ya Ujenzi wakati walipokuwa wanashindana katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro jana. Timu ya Wizara ya Mambo ya Ndani iliibuka mshindi kwa pointi moja. Timu ya wavutaji kamba wanawake ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ikiwavuta wapinzani wao (hawapo… ...

 

10 years ago

Michuzi

TIMU ZA WIZARA YA MAMBO YA NDANI ZAONGOZA UVUTAJI WA KAMBA SHIMIWI MOROGORO

Timu ya wavutaji kamba wanaume ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ikiwavuta wapinzani wao (hawapo pichani) Wizara ya Ujenzi wakati walipokuwa wanashindana katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro leo. Timu ya Wizara ya Mambo ya Ndani iliibuka mshindi kwa pointi moja. Timu ya wavutaji kamba wanawake ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ikiwavuta wapinzani wao (hawapo pichani) Wizara ya Afya wakati walipokuwa wanashindana katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro leo. Timu ya Wizara ya...

 

10 years ago

Michuzi

TIMU ZA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ZAINGIA 16 BORA, FAINALI SHIMIWI MJINI MOROGORO

 Wanamichezo wa Wizara wa Mambo ya Ndani ya Nchi wakimshangilia Alavuya Ntalima baada ya kushiriki mbio za Kilomita 32 za Baiskeli wanawake kutoka Kijiji cha Melela Mlandizi hadi Rombo mjini Morogoro. Timu 12 za Baiskeli za Shirikisho za Michezo ya Wizara na Taasisi za Serikali (SHIMIWI) zilishiriki katika mbio hizo leo. Hata hivyo, Timu za mpira wa miguu, Kamba wanaume na wanawake na Netball zimeingia katika kundi la 16 Bora huku Timu ya mchezo wa riadha mita 100 ya wizara hiyo imeingia...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AZINDUA RASMI "REST HOUSE" YA MAGEREZA, MKOANI MOROGORO

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulwakil(suti nyeusi) akijiandaa kukata utepe kwenye hafla ya Ufunguzi wa Jengo la "Rest House" ya Magereza leo februari 25, 2015 Mkoani Morogoro ambapo ukarabati wa Jengo hilo umefanyika chini ya Kikosi cha ujenzi cha Jeshi la Magereza(kulia) ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja.Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja(kushoto) akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani