TIMU ZA WIZARA YA MAMBO YA NDANI ZAONGOZA UVUTAJI WA KAMBA SHIMIWI MOROGORO
![](http://3.bp.blogspot.com/-UDDM85Gd_CA/VDJvt8i4UQI/AAAAAAAGoQ0/T7VlVZlLYFg/s72-c/unnamed%2B(67).jpg)
Timu ya wavutaji kamba wanaume ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ikiwavuta wapinzani wao (hawapo pichani) Wizara ya Ujenzi wakati walipokuwa wanashindana katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro leo. Timu ya Wizara ya Mambo ya Ndani iliibuka mshindi kwa pointi moja.
Timu ya wavutaji kamba wanawake ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ikiwavuta wapinzani wao (hawapo pichani) Wizara ya Afya wakati walipokuwa wanashindana katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro leo. Timu ya Wizara ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q*0FqWTixVLqcN4vkpWKtcUH833zJ0kH6ete0AsYXMDWkgv*ruUjlhf6NXruAYQdgyRGj360x4QBGCXy1TfLyX7jXzb0diTA/unnamed67.jpg?width=650)
TIMU ZA WIZARA YA MAMBO YA NDANI ZAONGOZA UVUTAJI WA KAMBA SHIMIWI MOROGORO
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-fxc3iS-IpN0/VDENkfVe7UI/AAAAAAAGoAg/L_BkkSC3I-E/s72-c/unnamed%2B(43).jpg)
TIMU ZA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ZAINGIA 16 BORA, FAINALI SHIMIWI MJINI MOROGORO
![](http://4.bp.blogspot.com/-fxc3iS-IpN0/VDENkfVe7UI/AAAAAAAGoAg/L_BkkSC3I-E/s1600/unnamed%2B(43).jpg)
10 years ago
Michuzikatibu mkuu wizara ya mambo ya ndani awatembelea wajumbe wa kikao kazi cha mambo ya ndani mjini morogoro
10 years ago
MichuziWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WASHIRIKI KIKAO KAZI CHA UTAYARISHAJI WA MPANGO WA MANUNUZI WA WIZARA WA MWAKA 2015/2016 MJINI MOROGORO
10 years ago
Dewji Blog06 Oct
Timu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo yatinga hatua ya timu 16 SHIMIWI
Wachezaji wa timu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakiomba dua kabla ya mchezo wa hatua ya mtoano katika mashindano ya SHIMIWI uwanja wa Chuo Kikuu chaa Kilimo (SUA).
(Na Eleuteri Mangi – MAELEZO)
Timu ya mpira wa miguu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imeibuka kidedea kwa kuifunga timu ya Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mikwaju ya penati 4 – 3.
Ushindi huo wa timu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AZINDUA RASMI "REST HOUSE" YA MAGEREZA, MKOANI MOROGORO
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-J--Ie9aArjo/VDMIOcHt1aI/AAAAAAAGoYA/jvuyELAvduQ/s72-c/unnamed%2B(4).jpg)
Timu za Ikulu zaingia hatua ya robo fainali SHIMIWI mjini Morogoro
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU MAMBO YA NDANI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI