Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mambo ni mswano kwa vijana wa mtwara, kampuni ya Statoil yaendesha shindano la kuwaendeleza

 Mkurugenzi mtendaji wa Statoil Hulge Lund (Kushoto) akitumia moja ya kompyuta za maabara itakayotumika kuendeleza vijana wa Mtwara katika shindano la Mashujaa wa Kesho linaloendeshwa na Statoil. Kulia ni Katibu tawala wa Mkoa wa Mtwara Bw. Alfred Luanda na katikati ni mmoja wa wanafunzi waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa shindano hilo. Baadhi ya vijana waliohudhulia hafla hiyo katika Maabara ya komputa zilizounganishwa katika mtandao wa intanet, komputa hizo zitatumika kuwafundisha vijana...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

STATOIL YATOA ZAWADI KWA WASHINDI WA SHINDANO LA MASHUJAA WA KESHO

Kampuni ya Statoil Tanzania imewatangaza na kuwazawadia washindi wa shindano la Mashujaa wa Kesho katika hafla iliyofanyika siku ya Alhamisi Desemba 4. Mashujaa wa Kesho ni shindano la biashara lililoandaliwa kwa lengo la kukuza dhana ya ujasiriamali kwa vijana mkoani Mtwara.
Bwana Nassibu Hamimu Lilumba ameibuka mshindi wa shindano la Mashujaa wa Kesho baada ya kutoa wazo la biashara na kIsha kuandaa mpango wa biashara na kutoa maelezo yake katika jopo la majaji. Mshindi alizawadiwa fedha...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Statoil yaendesha mafunzo ya ujasiriamali

MAFUNZO ya elimu ya ujasiriamali kwa washiriki wa shindano la Mashujaa wa kesho yaliyoratibiwa na kampuniya Statoil Tanzania kwa ajili ya kukuza ubunifu wa kibiashara kwa vijana wa Mtwara, yamemalizika....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kampuni yaajiri vijana Mtwara

KAMPUNI ya Supply Base Solutions Ltd (SBS) inayokusanya taka za baharini zinazosababishwa na uchimbaji wa gesi na mafuta mkoani Mtwara, imetoa kipaumbele cha ajira kwa wakazi waishio jirani na kampuni...

 

11 years ago

Michuzi

morogoro mambo mswano, mpunga kibao

 Hapa ni Morogoro karibu ambapo mpunga umeanikwa juani kabla ya kukobolewa. Imeelezwa kuwa mavuno ya mpunga mkoani Morogoro mwaka huu yamekuwa mazuri na biashara inashamiri. Bei hadi leo .tunapita hapo ilikuwa shilingi 1,300/- kwa kilo moja.

 

11 years ago

Dewji Blog

TFF yatikiwa kuwaendeleza vijana wa ARS

IMG_1566

Baadhi wa washiriki wa kliniki ya soka ya Kimataifa ya Airtel Rising Stars wakifuatilia kwa umakini mafunzo ya darasani kwenye uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

IMG_1572

IMG_1580

Wachezaji nyota wa zamani wa timu ya Taifa, Taifa Stars Zamoyoni Mogella na Abeid Mziba, wakisalimiana na washiriki wa kliniki ya soka ya Kimataifa ya Airtel Rising Stars inayoendelea kwenye Uwanja wa Azam Complex.

IMG_1583

IMG_1592

Mchezaji nyota wa zamani wa timu ya Taifa, Taifa Stars Zamoyoni Mogella, akiongea na washiriki wa kliniki ya...

 

10 years ago

GPL

BAYPORT FINANCIAL SERVICES YAENDESHA SHINDANO LA KUKOPA PESA KWA NJIA YA MTANDAO

Meneja Utawala wa Bayport Financial Services aliyezibwa macho, Evalyine Hall, akichagua koponi ya mmoja wa washindi wa Kopa Bayport kwa njia ya mtandao wa www.kopabayport.co.tz,  inayoendeshwa na taasisi hiyo ambapo washindi watatu ambao ni Hyasint Mbunda (Songea), Phaustine Mbilinyi (Dar es Salaam) na Allen Bishubo (Bukoba), walipatikana na kila mmoja kushinda Sh Milioni moja. Kushoto ni Meneja Masoko na Mawasiliano wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAMBO YAANZA KUWA MSWANO UKUMBI MPYA WA CCM MJINI DODOMA

Muonekano wa nje wa Jengo jipya la Ukumbi wa Mikutano wa kisasa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Dodoma. Ukumbi huu utaanza kutumika rasmi Julai 10 - 12, 2015 wakati wa Mkutano Mkuu wa CCM wa kupitisha jina la Mgombea Urais atakayeipeperusha bendera ya CCM kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu. Ukumbi huu unauwezo wa kuchukua Watu zaidi ya 3000. Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akiwaongoza baadhi ya wanahabari waliotembelea Ukumbi huo leo. Muonekano wa ndani...

 

10 years ago

TheCitizen

Could Statoil bring new hope to Mtwara's youth?

>After completing his primary education, Majaliwa Mbonde’s dream of continuing with his advanced levels disappeared into thin air.

 

11 years ago

GPL

KAMPUNI YA CHINA WORLD BUZ YAENDESHA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA JIJINI ARUSHA

Shafii Mwaijande Ofisa Mtendaji Mkuu wa China Word Buz kwa upande wa Tanzania akizungumza na wafanya biashara wadogo na wakati kwenye ukumbi wa Triple A jijini Arusha wakati wa Semina kwa wafanya biashara hao iliyofanyika siku ya jana, kuhusu mfumo utakaosaidia wafanyabiashara wadogo wa Tanzania kutafuta masoko ya bidhaa nchini China na kuwapa taarifa sahihi za masoko kwa msaada wa kampuni hiyo,Mfumo huo hautampa gharama kubwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani