Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni yaajiri vijana Mtwara

KAMPUNI ya Supply Base Solutions Ltd (SBS) inayokusanya taka za baharini zinazosababishwa na uchimbaji wa gesi na mafuta mkoani Mtwara, imetoa kipaumbele cha ajira kwa wakazi waishio jirani na kampuni...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

mambo ni mswano kwa vijana wa mtwara, kampuni ya Statoil yaendesha shindano la kuwaendeleza

 Mkurugenzi mtendaji wa Statoil Hulge Lund (Kushoto) akitumia moja ya kompyuta za maabara itakayotumika kuendeleza vijana wa Mtwara katika shindano la Mashujaa wa Kesho linaloendeshwa na Statoil. Kulia ni Katibu tawala wa Mkoa wa Mtwara Bw. Alfred Luanda na katikati ni mmoja wa wanafunzi waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa shindano hilo. Baadhi ya vijana waliohudhulia hafla hiyo katika Maabara ya komputa zilizounganishwa katika mtandao wa intanet, komputa hizo zitatumika kuwafundisha vijana...

 

11 years ago

Michuzi

Kampuni ya BG Tanzania na shirika la Africare Tanzania wazindua Mradi wa Kuwawezesha Vijana Mkoani Mtwara

​Mshauri wa Masuala ya Maendeleo ya Jamii na Mahusiano; wa Kampuni ya BG Tanzania, Emil Karuranga (wa pili kushoto) na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa​ ​Shirika la ​Africare, Alfred Kalaghe (wa pili kulia) wakisaini mkataba wa makubaliano wakati wa uzinduzi wa Mradi wa mafunzo kuwawezesha vijana kiuchumi mkoani Mtwara juzi. ​Wanaoshuhudia (kulia) ni Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa huo, Johansen Bukwali na Meneja Mradi wa vijana, Dickson Mbita.
Kampuni ya BG kwa kushirikiana na Kampuni ya...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara wajiajiri kupitia mfuko wa mendeleo ya Vijana

Kikosi kazimaalum kutoka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo wa kiongea na Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani ,Bw. Rashid Mohamed walimpotembelea leo ofisini kwake kwa ajili ya kufuatilia na kufanya tathmini ya mikopo iliyokwishatolewa katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-mikindani. Wajumbe wa kikundi cha AMKENI kutoka Halmashauri ya manispaa ya Mtwara mikindani wakiwa katika majadiliano na wajumbe wa kikosi kazi maalum kutoka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kampuni ya Nestle kuchimba kisima Mtwara

KAMPUNI ya Nestle, tawi la Tanzania imetoa msaada wa sh milioni 10 kwa ajili ya mradi wa kisima kirefu katika Chuo Kikuu cha Stella Maris (STEMMUCO) cha mkoani Mtwara. Akizungumza...

 

9 years ago

GPL

AIRTEL FURSA YAFIKIA VIJANA WA MTWARA

Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (kulia), akimkabidhi kijana Godfrey Frank Manjavila, msaada wa pikipiki ya magurudumu matatu aina ya Toyo, malighafi na vifaa mbali mbali vya kutengenezea sabuni, kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’, katika hafla fupi iliyofanyika nyumbani kwao, katika eneo la Shangani, Manispaa ya Mtwara jana. Wanaoshuhudia ni Mama yake mzazi, Aziza Nachenda (kushoto),...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Tigo yatoa msaada Hospitali ya rufaa ya Ligula mkoani Mtwara

1

Meneja wa kampuni ya Tigo kanda ya Kusini, Lilian Mwalongo (kulia) akizungumza na waandishi na uongozi wa hospitali ya Rufaa ya Ligula mkoani Mtwara wakati wa kukabidhi msaada wa vyandarua 1,000 vyenye thamani ya  milioni 15,Akiyekaa(katikati) ni Kaimu mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Alfred Luanda  na (kushoto) Mganga mkuu wa mkoa , Dk.Shaibu Maarifa.

2

Kaimu mkuu wa mkoa wa Mtwara ambaye ni katibu Tawala, Alfred Luanda (katikati) akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiwa vyandarua 1000 vyenye...

 

11 years ago

Michuzi

EPZA yafikia makubaliano na kampuni kuendeleza eneo huru bandari Mtwara

 Mamlaka ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA) imefikia makubaliano na kampuni nne za kimataifa kwa ajili ya kutoa huduma mbalimbali kwa kampuni kubwa zinazofanya utafiti wa mafuta na gesi katika mkoa wa Mtwara.  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo, Dkt. Adelhelm Meru aliwaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki kuwa hatua hiyo ni muhimu sana katika undelezaji wa eneo huru la bandari ya Mtwara.  EPZA inaendeleza hekta 10 za eneo huru la bandari ya Mtwara. Hekta...

 

9 years ago

Michuzi

VIJANA MTWARA WAENDELEA KUWEZESHWA KUPITIA AIRTEL FURSA

  Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (kushoto), akimkabidhi kijana Prisca George Chilumba, msaada wa vifaa mbali mbali vya saluni ya wanawake kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye sehemu yake ya biashara iliyokarabatiwa na Airtel katika Mtaa wa Ligula, Manispaa ya Mtwara jana. Wanaoshuhudia ni Meneja wa Airtel Mtwara, Bartholomew Masatu (wa pili kushoto) na rafiki wa Prisca.  Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani