Kampuni ya Tigo yatoa msaada Hospitali ya rufaa ya Ligula mkoani Mtwara
Meneja wa kampuni ya Tigo kanda ya Kusini, Lilian Mwalongo (kulia) akizungumza na waandishi na uongozi wa hospitali ya Rufaa ya Ligula mkoani Mtwara wakati wa kukabidhi msaada wa vyandarua 1,000 vyenye thamani ya milioni 15,Akiyekaa(katikati) ni Kaimu mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Alfred Luanda na (kushoto) Mganga mkuu wa mkoa , Dk.Shaibu Maarifa.
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Feb
Kampuni ya Tigo yatoa msaada Hospitali ya Tengeru Mkoani Arusha
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini Bw. David Charles (mwenye miwani kichwani) akiongoza wafanyakazi wenzake wa Kampuni ya Tigo kutoa msaada kwa wagonjwa wa Hospitali ya Tengeru kwenye siku ya Wapendanao mwishoni mwa wiki Mkoani Arusha.
Meneja wa Uwajibikaji kwa Jamii wa Tigo Bi.Woinde Shisael akikabidhi msaada kwa mgonjwa Bi.Elizabeth Swai ikiwa ni sehemu ya msaada uliyotolewa na Kampuni ya Tigo siku ya Wapendanao (Valentine Day) kwenye Hospitali ya Tengeru Mkoani Arusha mwishoni...
10 years ago
Dewji Blog19 May
Kampuni ya Tigo yatoa msaada wa Kompyuta hospitali ya Sekou Toure jijini Mwanza
Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akimkabidhi Mkuu wa wilaya Nyamagana, Mhe. Baraka Konisaga, moja ya kompyuta 25 zilizotolewa msaada na kampuni ya Tigo kwa hospitali ya Sekou Toure Mkoani Mwanza leo asubuhi.
Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mhe. Baraka Konisaga akizungumza jambo na Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez, katikati ni Mwenyekeiti wa bodi ya hospitali ya Sekou Toure Mkoani Mwanza Christopher Mwita Gachuma mara baada ya kukabidhi komputa 25 kwa hospitali hiyo.
Meneja Mkuu wa Tigo...
10 years ago
MichuziNMB yatoa Msaada kwa Hospitali ya Rufaa, Dodoma
Baadhi ya vifaa vilivyotolewa ni magodoro 22 na mashuka 422 ambayo kwa maelezo ya mganga mkuu wa hospitali hiyo – Dr Ezekiel Mpuya vitasaidia sana kuweka mazingira rafiki kwa wagonjwa wanaolazwa hospitalini hapo hususani akina mama wajawazito...
10 years ago
MichuziNHIF YATOA MSAADA VIFAA TIBA HOSPITALI YA RUFAA BABATI
10 years ago
Dewji Blog28 Jan
Maafisa Mawasiliano watoa msaada katika hospital ya Ligula-Mtwara
Mkurugenzi wa Idara ya Habari –MAELEZO Assah Mwambene (kulia) akikabidhi kwa niaba ya Maafisia Mawasiliano Serikalini msaada wa Kitanda cha wagonjwa kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ligula Mkoani Mtwara Dkt. Mohamed Abraham Gwao walipotembelea Hospitalini hapo jana.
10 years ago
Michuzi23 Dec
Kampuni ya TTCL yatoa msaada Hospitali ya Ocean Road
![Mkuu wa Huduma kwa wateja wa kampuni ya TTCL, Laibu Leonard (wa kwanza kulia) akimkabidhi baadhi ya misaada Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Ocean Road, Marry Haule (nguo ya bluu) waliyoitoa kwa wagonjwa. Wengine ni maofisa wa TTCL.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_00203.jpg)
![Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wakishusha bidhaa mbalimbali ambazo wamezitoa kama msaada kwa wagonjwa wa kansa Hospitalini hapo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_00351.jpg)
![Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Ocean Road, Marry Haule (nguo ya bluu) akishukuru TTCL mara baada ya kukabidhiwa msaada huo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0052.jpg)
10 years ago
Dewji Blog15 Jul
Kampuni ya TIGO yatoa zawadi ya Eid na kufuturisha mkoani Singida
Meneja huduma kwa wateja Tigo Kanda ya Kaskazini, Gwamaka Mwakilembe (mwenye miwani)akikabidhi zawadi za sikukuu ya Eid kwa Msemaji mkuu wa msikiti wa Taqwa Singida Mjini, Sheikh Saad Mhando kabla ya kupata futari iliyoandaliwa na Kampuni ya Tigo mkoani humo.
Meneja huduma kwa wateja Tigo Kanda ya Kaskazini, Gwamaka Mwakilembe (mwenye miwani)akiwa pamoja na Masheikh na watoto wa Msikiti wa Taqwa mjini Singida kwenye dua ya pamoja.
Wahuduma wa chakula wakitoa huduma kwa waalikwa.
11 years ago
MichuziMTWARA KUJIVUNIA HOSPITALI YA RUFAA
10 years ago
Dewji Blog02 Dec
Kinana alipokagua maabara yenye ubora wa nyota mbili hospitali ya rufaa Mtwara
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitembelea maabara yenye ubora wa nyota 2 katika Hospitali ya Mkoa ya Rufaa ya Mtwara juzi.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG.
Kinana akiendelea kupata maelezo kuhusu mashine zinazopima magonwa mbalimbali katika hospitali hiyo ya Mtwara.
Kinana akiakagua stoo ya kuhifadhia dawa mbalimbali katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara juzi.