Barwany ahoji utekelezaji mpango wa Southern Corridor
MBUNGE wa Lindi Mjini, Salum Barwany (CUF), ametaka kujua kama Bunge limesharidhia kuwepo kwa mpango wa Southern Corridor na kama ulipelekwa utekelezaji wake ukoje. Barwany alihoji hatua hiyo bungeni jana...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania28 Jan
Wenje ahoji utekelezaji maazimio ya Bunge
NA MAREGESI PAUL, DODOMA
MBUNGE wa Nyamagana, Ezekiah Wenje (Chadema), amehoji sababu ya ratiba ya Bunge la 18 lililoanza jana mjini hapa, kutoonyesha kama Serikali itawasilisha ripoti ya utekelezaji wa maazimio manane ya Bunge juu ya fedha zilizochotwa katika Akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Wenje alitoa kauli hiyo jana baada ya kuomba mwongozo wa spika, akihoji utekelezaji wa maazimio hayo yaliyopendekezwa na Bunge lililopita.
“Mheshimiwa Spika, ukiangalia...
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Mbunge ahoji utekelezaji ahadi kwenye kampeni
MBUNGE wa Viti Maalumu, Pauline Gekul (CHADEMA), ameihoji serikali kama ni halali kwa mgombea kutekeleza ahadi alizozitoa siku za nyuma wakati kampeni zikiendelea katika uchaguzi mdogo. Akiuliza swali bungeni jana,...
5 years ago
MichuziUTUMISHI YAFANYA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI KUJADILI TAARIFA YA MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA BAJETI WA MWAKA 2019/20 NA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA 2020/21
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati) akiongoza kikao cha Baraza la Wafanyakazi kujadili taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa Mwaka 2019/20 na Mpango wa Bajeti kwa Mwaka 2020/21 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,...
10 years ago
Habarileo30 Nov
Pinda aahidi utekelezaji mpango wa maendeleo ya taifa
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameahidi serikali kutekeleza ushauri wote uliotolewa na wabunge wakati wa kujadili mapendekezo yaliyowasilishwa na Serikali kuhusu Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2015/2016.
10 years ago
MichuziMAJADILIANO YA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA MAFANIKIO NCHI ZA AFRIKA
10 years ago
MichuziMPANGO WA AWAMU YA PILI WA UTEKELEZAJI WA MAENDELEO YA SEKTA YA MAJI WAZINDULIWA TANZANIA
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Mbogo Futakamba, akisoma hotuba katika uzinduzi rasmi wa Mpango wa Awamu ya Pili ya Utekelezaji wa Maendeleo ya Sekta ya Maji, akiwa na Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Philippe Dongier.Waziri wa Maji, Prof....
10 years ago
VijimamboMKUTANO WA MAJADILIANO YA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA MAFANIKIO NCHI ZA AFRIKA WAFANYIKA MJINI ABIDJAN
11 years ago
MichuziSHIRIKA LA POSTA TANZANIA LATOA TAARIFA JUU YA UTEKELEZAJI WAKE WA MPANGO KABAMBE WA MIAKA KUMI (2014-2023).