Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasira, Bulaya walalamikia hujuma

Wagombea ubunge Jimbo la Bunda Mjini, Stephen Wasira (CCM) na Ester Bulaya (Chadema), wameomba vyombo vya ulinzi kusimamia amani kipindi hiki cha kampeni inayoonekana kuvurugwa na baadhi ya wafuasi wa vyama hivyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

MAHOJIANO: Bulaya atangaza vita na Wasira

>Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Ester Bulaya ametangaza rasmi nia ya kugombea ubunge katika Jimbo la Bunda ambalo linashikiliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wasira.

 

10 years ago

Mwananchi

Wasira, Bulaya waanza kutunishiana misuli

Waziri wa Kilimo na Chakula, Stephen Wasira amesema hakuwahi kuwa na mvutano wowote na Mbunge wa Viti Maalum, Ester Bulaya, kwa kile alichodai kuwa siyo ‘saizi’ yake kwenye uwanja wa siasa.

 

10 years ago

KwanzaJamii

Ester Bulaya atangaza vita na Wasira

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Ester Bulaya (kulia) akifurahia jambo la Waziri Mkuu Mizengo Pinda katika mojawapo ya vikao vya Bunge mjini Dodoma. Dar es Salaam. Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Ester Bulaya ametangaza rasmi nia ya kugombea ubunge katika Jimbo la Bunda ambalo linashikiliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wasira. Kwa nia hiyo, Bulaya anaweza kuwa ametangaza vita dhidi ya Wasira ambaye hivi karibuni akiwa Bunda, alitangaza kukitetea kiti...

 

9 years ago

Vijimambo

Wasira agomea matokeo yaliyompa ushindi Bulaya

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Bunda kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira, amesema hakubaliani na matokeo yaliyotangazwa na Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo hilo, Lucy Msoffe, kwa kumpa ushindi wa ubunge Esther Bulaya, wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza juzi jioni, Wasira alisema matokeo ya ubunge yalichakachuliwa kutokana na uhesabuji kura kutofuata utaratibu.

Wasira alisema...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Hujuma nzito



Mashine Elektroniki zatumika kuibia serikaliMwigulu aendesha msako, aagiza uchunguziKampuni kubwa zahusishwa, wawili mbaroni
NA MWANDISHI WETU
SERIKALI inahofiwa kupoteza mabilioni ya shilingi kutokana na baadhi ya wafanyabiashara kuanza kufanya hujuma kwa kutumia mashine za kielektroniki (EFD) zinazotumika kukusanya kodi.
Hatua hiyo inatokana na kubainika kuingizwa sokoni kwa mashine zinazotoa risiti feki, ambapo kodi inayokatwa kwa mnunuzi imekuwa haiwasilishwi Mamlaka ya Mapato Tanzania...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Hujuma uzalishaji sukari

TANI 158 za sukari zimeozea kwenye ghala la kiwanda cha sukari Kilombero mkoani Morogoro mwaka jana huku tani 40,000 zikishindwa kuuzika kutokana na kuendelea kuingizwa kwa sukari kutoka nje ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Hujuma Bandari ya Tanga

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Magalula Said Magalula amedai kuwa kuna wafanyabiashara ambao wameanza tena kuhujumu mpango wa Serikali wa kutumia Bandari ya Tanga kupitishia mafuta.

 

10 years ago

Mwananchi

Lundenga alia hujuma

Siku moja baada ya Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), kuifungia Kampuni ya Lino International kuendesha mashindano ya Miss Tanzania kwa miaka miwili, Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Hashim Lundenga amesema hatua hiyo imefikiwa kutokana na shinikizo kutoka kwa baadhi ya watu wenye dhamira ya kuitoa kwenye mstari wa mafanikio sanaa ya urembo nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Bulaya amvaa Wassira

Siku moja baada ya Steven Wassira kutangaza nia ya kutetea ubunge wa Jimbo la Bunda mwakani, Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Bulaya amesema anashangaa kuona mwanasiasa huyo mkongwe anaweweseka kwa kutojua ni nafasi ipi anaitaka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani