Wasira agomea matokeo yaliyompa ushindi Bulaya
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Bunda kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira, amesema hakubaliani na matokeo yaliyotangazwa na Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo hilo, Lucy Msoffe, kwa kumpa ushindi wa ubunge Esther Bulaya, wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza juzi jioni, Wasira alisema matokeo ya ubunge yalichakachuliwa kutokana na uhesabuji kura kutofuata utaratibu.
Wasira alisema...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMATOKEO YALIYOMPA USHINDI MBUNGE PROF MSOLA KATA TATU YATUPWA ,UCHAGUZI KURUDIA KESHO TAKUKURU WAANZA KUCHUNGUZA MCHAKATO MZIMA KILOLO
CHAMA Cha mapinduzi ( CCM) mkoa wa Iringa kimefuta matokeo ya kata tatu za jimbo la Kilolo matokeo yaliyokuwa yakimpa ushindi mkubwa mbunge anaemaliza muda wake Prof Peter Msola na kuagiza uchaguzi huo kurudiwa kesho
Matokeo hayo ambayo yamekataliwa na wagombea wote yanadaiwa kupachikwa katika vituo vya kata hizo tatu japo hata hivyo hayana uhalisia ukilinganisha na idadi ya wanachama wa maeneo husika .
Katibu wa CCM mkoa wa Iringa Bw Hassan Mtenga alisema kuwa ...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-qFGU0VaijQc/Vb9-0DHQMrI/AAAAAAAHtn4/fEITNbW-rik/s72-c/Peter_Msolla.jpg)
NEWS ALERT: MATOKEO YALIYOMPA USHINDI MBUNGE PROF MSOLA KATA TATU YATUPWA ,UCHAGUZI KURUDIA KESHO TAKUKURU WAANZA KUCHUNGUZA MCHAKATO MZIMA KILOLO
![](http://1.bp.blogspot.com/-qFGU0VaijQc/Vb9-0DHQMrI/AAAAAAAHtn4/fEITNbW-rik/s400/Peter_Msolla.jpg)
CHAMA Cha mapinduzi ( CCM) mkoa wa Iringa kimefuta matokeo ya kata tatu za jimbo la Kilolo matokeo yaliyokuwa yakimpa ushindi mkubwa mbunge anaemaliza muda wake Prof Peter Msola na kuagiza uchaguzi huo kurudiwa kesho
Matokeo hayo ambayo yamekataliwa na wagombea wote yanadaiwa kupachikwa katika vituo vya kata hizo tatu japo hata hivyo hayana uhalisia ukilinganisha na idadi ya wanachama wa maeneo husika .
Katibu wa CCM mkoa wa Iringa Bw Hassan Mtenga ...
9 years ago
Mwananchi11 Sep
Wasira, Bulaya walalamikia hujuma
10 years ago
Mwananchi26 Jul
Wasira, Bulaya waanza kutunishiana misuli
10 years ago
KwanzaJamii24 Sep
Ester Bulaya atangaza vita na Wasira
10 years ago
Mwananchi24 Sep
MAHOJIANO: Bulaya atangaza vita na Wasira
10 years ago
Mwananchi22 Jul
Ushindi wa Dk Magufuli ni matokeo ya utabiri wa PCM
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/F0-3hZU_F_k/default.jpg)
10 years ago
Mwananchi15 Jul
Mambo matano yaliyompa kijiti Magufuli