Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ushindi wa Dk Magufuli ni matokeo ya utabiri wa PCM

Kwa wanaopenda kusoma vitabu au kuangalia sinema za documentary hapana shaka watakumbuka kitabu au sinema ya mambo ya utabiri, inayoitwa ‘The man who saw tomorrow’, mwandishi wake ni mtabiri wa Ufaransa Michel de Notredame au kwa jina maarufu alijulikana kama Nostradamus. Huyu alitabiri mambo mengi ambayo yametokea katika dunia ya sasa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Wasira agomea matokeo yaliyompa ushindi Bulaya

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Bunda kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira, amesema hakubaliani na matokeo yaliyotangazwa na Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo hilo, Lucy Msoffe, kwa kumpa ushindi wa ubunge Esther Bulaya, wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza juzi jioni, Wasira alisema matokeo ya ubunge yalichakachuliwa kutokana na uhesabuji kura kutofuata utaratibu.

Wasira alisema...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli ajitabiria ushindi 95%

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, amejitabiria ushindi wa ‘tsunami’ wa asilimia 95 na siyo 65 kama ilivyotajwa katika utafiti wa Taasisi ya Twaweza.

 

9 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

MATOKEO YALIYOMPA USHINDI MBUNGE PROF MSOLA KATA TATU YATUPWA ,UCHAGUZI KURUDIA KESHO TAKUKURU WAANZA KUCHUNGUZA MCHAKATO MZIMA KILOLO

Na MatukiodaimaBlog
CHAMA Cha mapinduzi ( CCM) mkoa  wa Iringa  kimefuta matokeo ya kata tatu za jimbo la Kilolo matokeo yaliyokuwa yakimpa ushindi mkubwa mbunge anaemaliza muda wake Prof Peter Msola na kuagiza uchaguzi   huo  kurudiwa kesho
Matokeo hayo ambayo yamekataliwa na wagombea wote yanadaiwa kupachikwa katika  vituo vya kata hizo tatu japo hata hivyo hayana uhalisia ukilinganisha na idadi ya wanachama wa maeneo husika .
Katibu  wa CCM  mkoa  wa  Iringa Bw  Hassan Mtenga  alisema  kuwa ...

 

9 years ago

Raia Mwema

Sababu nane za ushindi wa Magufuli

HATIMAYE mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk.

Paul Sarwatt

 

9 years ago

Mwananchi

UDSM yajivunia ushindi wa Dk Magufuli

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udsm), Profesa Rwekaza Mukandala amempongeza Dk John Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Tanzania na kusema ushindi huo ni fahari kwa chuo hicho kwa sababu yeye alisoma katika chuo hicho shahada ya kwanza (1988), umahiri (Masters) (1994) na uzamivu (Phd) (2009).

 

10 years ago

Habarileo

Magufuli: Subirini ushindi wa tsunami

MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, amewahakikishia wana-CCM na Watanzaia kwa ujumla kuwa mwaka huu, chama kitapata ushindi wa Tsunami na si wa kishindo wala kimbunga.

 

9 years ago

Habarileo

Wasomi wapongeza ushindi wa Magufuli

WASOMI na wananchi wa kawaida wamesema ushindi wa Dk John Magufuli ni halali kwani matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi yanafanana na hali halisi na mapenzi waliyonayo Watanzania kwa mwanasiasa huyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani