Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli ajitabiria ushindi 95%

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, amejitabiria ushindi wa ‘tsunami’ wa asilimia 95 na siyo 65 kama ilivyotajwa katika utafiti wa Taasisi ya Twaweza.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

9 years ago

Mwananchi

UDSM yajivunia ushindi wa Dk Magufuli

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udsm), Profesa Rwekaza Mukandala amempongeza Dk John Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Tanzania na kusema ushindi huo ni fahari kwa chuo hicho kwa sababu yeye alisoma katika chuo hicho shahada ya kwanza (1988), umahiri (Masters) (1994) na uzamivu (Phd) (2009).

 

9 years ago

Raia Mwema

Sababu nane za ushindi wa Magufuli

HATIMAYE mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk.

Paul Sarwatt

 

10 years ago

Habarileo

Magufuli: Subirini ushindi wa tsunami

MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, amewahakikishia wana-CCM na Watanzaia kwa ujumla kuwa mwaka huu, chama kitapata ushindi wa Tsunami na si wa kishindo wala kimbunga.

 

9 years ago

Habarileo

Wasomi wapongeza ushindi wa Magufuli

WASOMI na wananchi wa kawaida wamesema ushindi wa Dk John Magufuli ni halali kwani matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi yanafanana na hali halisi na mapenzi waliyonayo Watanzania kwa mwanasiasa huyo.

 

10 years ago

GPL

PENNY AJITABIRIA KUWA MCHUNGAJI

Imelda Mtema
Mtangazaji aliyewahi kuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amejitabiria kuwa huenda siku za baadaye akawa mchungaji maana amekuwa akitabiri mambo flani kisha yanatokea. Mtangazaji aliyewahi kuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’. Akipiga stori na Ijumaa hivi karibuni, Penny alisema kwenye...

 

10 years ago

Habarileo

Baba Mtakatifu ajitabiria ukomo

Papa Fransis.AKIWA katika maadhimisho ya kuanza mwaka wa pili wa utume wake katika kuongoza Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Francis, ametoa kauli kuashiria kuwa huenda asidumu katika wadhifa huo kwa muda mrefu ujao.

 

10 years ago

Mwananchi

Ushindi wa Dk Magufuli ni matokeo ya utabiri wa PCM

Kwa wanaopenda kusoma vitabu au kuangalia sinema za documentary hapana shaka watakumbuka kitabu au sinema ya mambo ya utabiri, inayoitwa ‘The man who saw tomorrow’, mwandishi wake ni mtabiri wa Ufaransa Michel de Notredame au kwa jina maarufu alijulikana kama Nostradamus. Huyu alitabiri mambo mengi ambayo yametokea katika dunia ya sasa.

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli akabidhiwa cheti cha ushindi

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva amemkabidhi cheti cha ushindi wa urais Dk John Magufuli wa Chama cha Mapinduzi (CCM).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani