PENNY AJITABIRIA KUWA MCHUNGAJI
Imelda Mtema Mtangazaji aliyewahi kuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amejitabiria kuwa huenda siku za baadaye akawa mchungaji maana amekuwa akitabiri mambo flani kisha yanatokea. Mtangazaji aliyewahi kuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’. Akipiga stori na Ijumaa hivi karibuni, Penny alisema kwenye...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Danile Moi: Je wajua rais mstaafu aliwahi kuwa mchungaji wa mbuzi?
9 years ago
Habarileo26 Sep
Magufuli ajitabiria ushindi 95%
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, amejitabiria ushindi wa ‘tsunami’ wa asilimia 95 na siyo 65 kama ilivyotajwa katika utafiti wa Taasisi ya Twaweza.
10 years ago
Habarileo15 Mar
Baba Mtakatifu ajitabiria ukomo
AKIWA katika maadhimisho ya kuanza mwaka wa pili wa utume wake katika kuongoza Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Francis, ametoa kauli kuashiria kuwa huenda asidumu katika wadhifa huo kwa muda mrefu ujao.
9 years ago
MichuziMCHUNGAJI CHARLES GADI ASIMIKWA RASMI KUWA ASKOFU MKUU WA MAKANISA YOTE YA GOOD NEWS FOR ALL NCHINI TANZANIA
Askofu Charles Gadi akitoa historia yake katika ibada yake ya kusimikwa kuwa Askofu Mkuu wa Makanisa ya Good News for All baada ya kusimikwa rasmi katika kanisa hilo la Mapinga Wilayani Bagamoyo mkoani Pwani hivi karibuni.Wazee wa kiroho wa Askofu Gadi wakiwasalimia waumini katika ibada hiyo.Rais wa Makanisa ya Kipentekosti Afrika, Dk.Athar Gitonga (kushoto), akimkabdidhi fimbo ya Uaskofu, Askofu Gadi wakati wa ibada hiyo ya kuzimikwa kuwa Askofu wa Makanisa hayo.Hapa akikabidhiwa...
9 years ago
GPLMCHUNGAJI CHARLES GADI ASIMIKWA RASMI KUWA ASKOFU MKUU WA MAKANISA YOTE YA GOOD NEWS FOR ALL NCHINI TANZANIA
9 years ago
Dewji Blog19 Dec
Timua timua ya Makocha: baada ya Mourinho, Van Gaal naye ajitabiria kutimuliwa!!
Van Gaal
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Baada ya taarifa kutoka siku ya Alhamisi kuwa klabu ya Chelsea imemfukuza kazi aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Jose Mourinho, kocha wa Manchester United amesema hilo ni jambo la kushtukiza zaidi kwake na anahisi na yeye litamtokea kama ilivyomtokea mwenzake.
Van Gaal alisema kuwa jambo hilo limekuwa la haraka na hali jinsi ilivyo katika kikosi chake ambacho katika michezo mitano imeyopita haijapata ushindi anahisi na yeye atafukuzwa kama Mourinho ambaye...
10 years ago
GPLPENNY AKUMBWA NA MAUZUZA!