Timua timua ya Makocha: baada ya Mourinho, Van Gaal naye ajitabiria kutimuliwa!!
Van Gaal
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Baada ya taarifa kutoka siku ya Alhamisi kuwa klabu ya Chelsea imemfukuza kazi aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Jose Mourinho, kocha wa Manchester United amesema hilo ni jambo la kushtukiza zaidi kwake na anahisi na yeye litamtokea kama ilivyomtokea mwenzake.
Van Gaal alisema kuwa jambo hilo limekuwa la haraka na hali jinsi ilivyo katika kikosi chake ambacho katika michezo mitano imeyopita haijapata ushindi anahisi na yeye atafukuzwa kama Mourinho ambaye...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Timua timua Yanga yaibua ufisadi wa mabilioni ya fedha
10 years ago
BBCSwahili25 Oct
Mourinho amsifu Van Gaal
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
‘IGP timua askari Msimbazi’
BAADHI wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wamemtaka Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Ernest Mangu, kufanya mabadiliko ya askari katika Kituo cha Polisi Msimbazi, kutokana na kuhusishwa katika tuhuma...
10 years ago
Habarileo06 Nov
Mbunge: Rais timua ma-DED wabadhirifu
MBUNGE wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM) amemwomba Rais Jakaya Kikwete kuwafukuza kazi mara moja wakurugenzi wote wa halmashauri, ambao wamefuja fedha zilizopaswa kutolewa mikopo kwa vijana na wanawake kwa lengo la kuwakomboa kiuchumi.
9 years ago
MillardAyo21 Dec
Louis van Gaal anaondoka Man United? imenifikia list ya makocha wanaotajwa kuchukua nafasi yake …
Headlines za makocha mbalimbali wa Ligi Kuu Uingereza kufukuzwa zinaendelea kushika kasi ambapo hivi karibuni ulimwengu ulishuhudia Kocha wa Swansea City Garry Monk akifukuzwa na Jose Mourinho akifukuzwa kuifundisha Chelsea. Stori za mitandaoni za hivi karibuni ni zile zinazomzungumzia Kocha wa Manchester United Louis van Gaal na hatma yake ndani ya klabu hiyo baada ya timu yake kuendelea […]
The post Louis van Gaal anaondoka Man United? imenifikia list ya makocha wanaotajwa kuchukua nafasi...
9 years ago
StarTV01 Sep
Chacharito aondoka Man United,Unajua Timua aliyotimkia Soma hapa.
![](http://4.bp.blogspot.com/-R_ZrmQ5OKcs/VeSzuATnQVI/AAAAAAABnMQ/3sbrEMH2M2M/s640/2BDA60E300000578-3217039-Javier_Hernandez_poses_with_Bayer_Leverkusen_sporting_director_R-a-10_1441041129702.jpg)
9 years ago
MillardAyo20 Dec
Sababu nne za kwa nini Man United wanatakiwa wamfukuze Louis van Gaal na kumuajiri Jose Mourinho …
Hizi ni stori au mkusanyiko wa mawazo ya waandishi wa habari wa Uingereza na wchambuzi wa masuala ya soka Uingereza, Jose Mourinho na Louis van Gaal ndio makocha ambao walikuwa wanahusishwa kwa kiasi kikubwa kupewa nafasi ya kufukuzwa kazi kutokana na mwenendo wa timu zao. Tayari Jose Mourinho kafukuzwa Chelsea ila hatujui Man United wataamua […]
The post Sababu nne za kwa nini Man United wanatakiwa wamfukuze Louis van Gaal na kumuajiri Jose Mourinho … appeared first on...
9 years ago
Dewji Blog27 Dec
Baada ya kipigo, Van Gaal ajifukuza kabla ya kufukuzwa
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal (pichani) ambaye kibarua chake kipo katika kipindi kigumu kufuatia kipigo cha goli 2 kwa bila kutoka kwa Stoke City amesema anafikiri anatakiwa kuacha kibarua cha kuinoa klabu hiyo.
Akiwa katika wakati mgumu wa hatma ya kibarua chake Van Gaal ameshudia timu yake ikifungwa goli 2 kwa bila na kuwa mchezo wa 7 kufungwa kwa msimu huu na kikiwa kipigo cha kwanza ndani ya miaka 54 Manchester United kufungwa siku ya Boxing Day...
9 years ago
Dewji Blog03 Nov
Baada ya kutojumuishwa katika timu ya taifa ya Uholanzi, Van Gal naye amtoa kikosini Depay kwenye mchezo wa UEFA
Winga wa Manchester United, Memphis Depay.
Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal.
Na Rabi Hume
Winga wa klabu ya Manchester United, Mholanzi Memphis Depay amekuwa na wakati mgumu katika kipindi hiki cha karibuni kutokana na kudaiwa kushuka kiwango jambo lililomfanya kocha wake Louis Van Gaal kuwa akimweka benchi na nafasi yake ikichukuliwa na kijana mwenzake, Mfaransa Antony Martial.
Kama hilo halitoshi jana nchini Uholanzi yametangazwa majina ya wachezaji ambao wataingia kambini kwa...