Baada ya kipigo, Van Gaal ajifukuza kabla ya kufukuzwa
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal (pichani) ambaye kibarua chake kipo katika kipindi kigumu kufuatia kipigo cha goli 2 kwa bila kutoka kwa Stoke City amesema anafikiri anatakiwa kuacha kibarua cha kuinoa klabu hiyo.
Akiwa katika wakati mgumu wa hatma ya kibarua chake Van Gaal ameshudia timu yake ikifungwa goli 2 kwa bila na kuwa mchezo wa 7 kufungwa kwa msimu huu na kikiwa kipigo cha kwanza ndani ya miaka 54 Manchester United kufungwa siku ya Boxing Day...
Dewji Blog
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania