Van Gaal apuuza tathmini kumhusu
Van Gaal anasema:"Lilikuwa jambo la kijinga kuniweka kwenye mizani miezi mitatu baada ya kuchukua usukani Manchester United''
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili24 Jun
VAN GAAL : FIFA IMETUONEA
Mkufunzi wa Uholanzi Louis va Gaal ameikashifu ratiba ya mechi za mkondo wa pili akisema inapendelea mataifa mengine
10 years ago
BBCSwahili15 Dec
Hatufikirii ubingwa:Van gaal
meneja wa Manchester United Louis van Gaal amegoma kujitumbukiza katika mbio za ubingwa
10 years ago
BBCSwahili25 Oct
Mourinho amsifu Van Gaal
Mkufunzi wa timu ya Manchester Louis van Gaal amesisitiza kuwa hakuchukuwa jukumu kubwa la kumboresha Mourinho
9 years ago
BBCSwahili26 Nov
Van Gaal:Tutashinda Wolfsburg
Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Louis Van Gaal amekiri kwamba klabu hiyo inakabiliwa na mechi ngumu itakapokutana na Worlfsburg.
11 years ago
Mwananchi19 Jul
Van Gaal aanza kazi Manchester
Louis van Gaal amewasili rasmi kama kocha wa Manchester United na kuanza kazi hiyo juzi akiwa katika uwanja wa mazoezi wa timu hiyo kwa mara ya kwanza.
9 years ago
BBCSwahili21 Sep
Louis Van Gaal amwaga tambo
Meneja wa Manchester United Louis van Gaal baada ya Ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Southampton sasa atamba kuchukua ubingwa England.
9 years ago
BBCSwahili21 Sep
Van Gaal:Tutanyakua ubingwa wa ligi
Ushindi wa kilabu ya Manchester United dhidi ya Southampton ni dhihirisho tosha kwamba kilabu hiyo inaweza kunyakuwa taji la ligi kuu,amesema mkufunzi wake Louis Van Gaal.
9 years ago
Mwananchi19 Oct
Manchester United ‘wamkuna’ Van Gaal
Ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Everton umemfurahisha kocha wa Manchester United, Louis van Gaal akiueleza kuwa umemsaidia kuwaimarisha kiakili wachezaji wake, ambao kwa sasa wanajiamini.
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Van Gaal aanza kuwaza ubingwa
Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal amesema mipango yake ni kuhakikisha analirudisha taji la Ligi Kuu katika ngome ya Old Trafford.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania