Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Van Gaal aanza kazi Manchester

Louis van Gaal amewasili rasmi kama kocha wa Manchester United na kuanza kazi hiyo juzi akiwa katika uwanja wa mazoezi wa timu hiyo kwa mara ya kwanza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Kocha mpya wa Man United Louis van Gaal aanza kazi kwa mikwara

Na Sultani KipingoKocha mpya wa Manchester United Louis van Gaal ameongea na wanahabari kwa mara ya kwanza leo, akisema kuwa klabu hicho cha Old Trafford ni kikubwa duniani isipokuwa inabidi wajipeleleze upya kufuatia kuboronga katika msimu uliopita.
"Msimu uliopita mmemaliza ligi mkiwa nafasi ya saba kwa hiyo nyie sio klabu kubwa duniani. Mnahitaji kujidhihirisha wenyewe, ingawa dunia nzima wanazungumzia Manchester United - hiyo ndio tofauti", alisema.
"Hii ni changamoto kubwa na ndio maana...

 

10 years ago

Mwananchi

Van Gaal aanza kuwaza ubingwa

Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal amesema mipango yake ni kuhakikisha analirudisha taji la Ligi Kuu katika ngome ya Old Trafford.

 

10 years ago

Mwananchi

Van Gaal aanza kukata tamaa ya ubingwa

Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal amesema kitendo cha timu yake kukubali sare ya bao 1-1 na Aston Villa juzi ni pigo katika mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu.

 

11 years ago

Mwananchi

Van Gaal aanza kwa kishindo Man United

Van Gaal alitumia mtindo ule ule ulimsaidia kuifikisha Uholanzi katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia nchini Brazil.

 

9 years ago

Mwananchi

Manchester United ‘wamkuna’ Van Gaal

Ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Everton umemfurahisha kocha wa Manchester United, Louis van Gaal akiueleza kuwa umemsaidia kuwaimarisha kiakili wachezaji wake, ambao kwa sasa wanajiamini.

 

9 years ago

Dewji Blog

Van Gaal aanza kuhofia kibarua chake Man United

Wayne-Rooney

Wayne Rooney akibadilishana mawazo na Louis van Gaal wakati wa mazoezi ya kujifua.(Picha na Getty Images).

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal amesema anaanza kuingiwa na hofu ya kibarua chake baada ya sare ya bila kufungana dhidi ya PSV Eindhoven ya Uholanzi katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Van Gaal amesema imeingiwa na hofu hiyo kutokana na mashabiki wa timu hiyo kutaka kupata magoli mengi jambo ambalo limekuwa ngumu kwa wachezaji wao hali...

 

11 years ago

GPL

LOUIS VAN GAAL KOCHA MPYA MANCHESTER UNITED

Kocha mpya wa Manchester United, Louis van Gaal. KOCHA wa timu ya Taifa ya Uholanzi, Louis van Gaal ndiye kocha mpya wa Manchester United. Gaal ataiongoza timu hiyo kwa miaka mitatu baada ya Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil. Aliyekuwa kocha wa muda wa timu hiyo, Ryan Giggs ndiye atakuwa msaidizi wake. Klabu ya Manchester United imethibitisha taarifa hizi kupitia ukurasa wake wa Facebook hivi punde. ...

 

9 years ago

Mwananchi

Ukali wa Van Gaal wamtisha Pedro kutua Manchester Utd

Ndoto za Manchester United kumsajili winga Pedro aliyeichagua Chelsea zinasemekana kuwa ziliyeyushwa na ukali wa kocha Louis Van Gaal.

 

9 years ago

Africanjam.Com

MANCHESTER UNITED EYEING PEP GUARDIOLA AS THE REPLACEMENT OF LOUIS VAN GAAL


Club legend Ryan Giggs had been expected to take over when the Dutchman's deal expires in 2017 but the Bayern boss is on their radar for NEXT summerLouis van Gaal has confirmed that he WILL walk away from Manchester United in 2017.The 64-year-old Dutchman, who signed a three-year contract when he arrived at Old Trafford last summer, insists he will not be reversing his decision to retire in 18 months’ time.But while Van Gaal is grooming his No 2 Ryan Giggs to be the next Old Trafford...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani