Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Van Gaal aanza kwa kishindo Man United

Van Gaal alitumia mtindo ule ule ulimsaidia kuifikisha Uholanzi katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia nchini Brazil.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Kocha mpya wa Man United Louis van Gaal aanza kazi kwa mikwara

Na Sultani KipingoKocha mpya wa Manchester United Louis van Gaal ameongea na wanahabari kwa mara ya kwanza leo, akisema kuwa klabu hicho cha Old Trafford ni kikubwa duniani isipokuwa inabidi wajipeleleze upya kufuatia kuboronga katika msimu uliopita.
"Msimu uliopita mmemaliza ligi mkiwa nafasi ya saba kwa hiyo nyie sio klabu kubwa duniani. Mnahitaji kujidhihirisha wenyewe, ingawa dunia nzima wanazungumzia Manchester United - hiyo ndio tofauti", alisema.
"Hii ni changamoto kubwa na ndio maana...

 

9 years ago

Dewji Blog

Van Gaal aanza kuhofia kibarua chake Man United

Wayne-Rooney

Wayne Rooney akibadilishana mawazo na Louis van Gaal wakati wa mazoezi ya kujifua.(Picha na Getty Images).

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal amesema anaanza kuingiwa na hofu ya kibarua chake baada ya sare ya bila kufungana dhidi ya PSV Eindhoven ya Uholanzi katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Van Gaal amesema imeingiwa na hofu hiyo kutokana na mashabiki wa timu hiyo kutaka kupata magoli mengi jambo ambalo limekuwa ngumu kwa wachezaji wao hali...

 

9 years ago

Bongo5

Paul Scholes: Nisingeweza kucheza Man United, kwa mfumo wa Louis van Gaal

scholes-615580Kiungo wa zamani wa Manchester United na England, Paul Scholes ameendelea kumtetea nahodha wa Manchester United Wayne Rooney na kudai kuwa ni vigumu kwa straika yeyote yule kufunga kwa mfumo na staili ya Van Gaal. Paul Scholes amesema amecheza na washambuliaji nguli duniani wakiwemo Rud Van Nisterlooy, Yorke na Teddy Sheringham lakini akasisitiza kuwa mfumo […]

 

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio rekodi ya Man United iliyodumu kwa miaka 54, lakini imevunjwa chini ya Louis van Gaal ….

Kila mpenda soka anasubiria kuona mwaka 2015 utamalizikaje kwa kocha wa klabu ya Manchester United Louis van Gaal kuendelea kuwa Man United, Kwani Van Gaal kwa sasa anahusishwa kufukuzwa kazi wakati wowote. Mengi yanachochea uvumi huo kuwa upo karibu kutimia, ukizingatia mtendaji mkuu wa Man United yupo kimya kwa muda mrefu bila kutoa kauli yoyote. Wazungu […]

The post Hii ndio rekodi ya Man United iliyodumu kwa miaka 54, lakini imevunjwa chini ya Louis van Gaal …. appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Sababu nne za kwa nini Man United wanatakiwa wamfukuze Louis van Gaal na kumuajiri Jose Mourinho …

Hizi ni stori au mkusanyiko wa mawazo ya waandishi wa habari wa Uingereza na wchambuzi wa masuala ya soka Uingereza, Jose Mourinho na Louis van Gaal ndio makocha ambao walikuwa wanahusishwa kwa kiasi kikubwa kupewa nafasi ya kufukuzwa kazi kutokana na mwenendo wa timu zao. Tayari Jose Mourinho kafukuzwa Chelsea ila hatujui Man United wataamua […]

The post Sababu nne za kwa nini Man United wanatakiwa wamfukuze Louis van Gaal na kumuajiri Jose Mourinho … appeared first on...

 

11 years ago

BBCSwahili

Van Gaal meneja mpya wa Man United

Louis van Gaal ndiye meneja mpya wa Manchester United

 

11 years ago

GPL

VAN GAAL AENDELEZA FURAHA MAN UNITED

Shinji Kagawa (kushoto), Darren Fletcher (katikati) na Tom Cleverley (kulia), wakishangilia baada ya kuifunga Inter Milan kwa penalti 5 -3. Fletcher na David De Gea wakishangilia kwa pamoja.…

 

10 years ago

Mwananchi

Van Gaal: Man United bado sana

Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal amekiri kuwa mwanzo umekuwa mgumu kwake msimu huu hasa baada ya kulazimishwa kwenda suluhu na Burnley.

 

9 years ago

BBCSwahili

Man United: van Gaal ''mimi si kiziwi''

Mkufunzi wa Manchester United Louis van Gaal amefichua kuwa anatambua mashabiki wa klabu hiyo hawajafurahia mbinu zake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani