Van Gaal meneja mpya wa Man United
Louis van Gaal ndiye meneja mpya wa Manchester United
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziKocha mpya wa Man United Louis van Gaal aanza kazi kwa mikwara
"Msimu uliopita mmemaliza ligi mkiwa nafasi ya saba kwa hiyo nyie sio klabu kubwa duniani. Mnahitaji kujidhihirisha wenyewe, ingawa dunia nzima wanazungumzia Manchester United - hiyo ndio tofauti", alisema.
"Hii ni changamoto kubwa na ndio maana...
11 years ago
GPLVAN GAAL AENDELEZA FURAHA MAN UNITED
10 years ago
Mwananchi01 Sep
Van Gaal: Man United bado sana
9 years ago
BBCSwahili04 Nov
Man United: van Gaal ''mimi si kiziwi''
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Van Gaal aanza kwa kishindo Man United
9 years ago
Dewji Blog26 Nov
Van Gaal aanza kuhofia kibarua chake Man United
Wayne Rooney akibadilishana mawazo na Louis van Gaal wakati wa mazoezi ya kujifua.(Picha na Getty Images).
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal amesema anaanza kuingiwa na hofu ya kibarua chake baada ya sare ya bila kufungana dhidi ya PSV Eindhoven ya Uholanzi katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Van Gaal amesema imeingiwa na hofu hiyo kutokana na mashabiki wa timu hiyo kutaka kupata magoli mengi jambo ambalo limekuwa ngumu kwa wachezaji wao hali...
9 years ago
Mtanzania08 Dec
Van Gaal kuongezewa mkataba mpya United
MANCHESTER, ENGLAND
KLABU ya Manchester United inatarajia kufanya mazungumzo na kocha wake Louis van Gaal kwa ajili ya
kumuongezea mkataba mpya Januari mwakani.
Uongozi wa klabu hiyo umesema una furaha kubwa kuwa na kocha huyo tangu alipoanza kuiongoza miezi 17
iliyopita.
Van Gaal alijiunga katika klabu hiyo kwa mkataba wa miaka mitatu, hivyo mkatab huo unatarajia kumalizika
2017, hivyo makamu mwenyekiti wa klabu hiyo, Ed Woodward amedai kwamba wana imani na kocha huyo.
Hata hivyo, awali...
9 years ago
Bongo506 Nov
Van Gaal najua mashabuki wa Man United hawa furahii mbinu zangu
Kocha wa Manchester United Louis van Gaal amesema kuwa anatambua mashabiki wa klabu hiyo hawafurahii mbinu zangu nazo tumia.
Va Gaal alisema kuwa ushindi wao dhidi ya CSKA Moscow ulileta tabasamu Old Trafford.
Baada ya uamuzi wa kocha huyo kumuondoa Anthoy Martial na badala yake kuingia Fellaini mechi ikiwa 0-0 ulishtumiwa vikali huku mashabiki wakionyesha hisia zao kwa kumzomea.
Rooney aliipa United goli la ushindi kunako dakika ya 79.
“Mimi si kiziwi. Naelewa maoni ya mashabiki lakini...
9 years ago
Dewji Blog06 Dec
Van Gaal azungumzia nafasi ya Man United kushinda Uefa Champion League
Louis Van Gaal.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Baada ya kutoa sare na timu ya West Ham United, Kocha wa Manchester United, Mdachi Louis Van Gaal amezungumzia nafasi ya timu yake kama inauwezo wa kutwaa ubingwa wa klabu bingwa barani Ulaya (UEFA Champion League).
Majibu ya kocha huyo yalitegemewa na watu wengi kutokana na mwenendo ulivyo kwa sasa kwa klabu hiyo kongwe ya nchini Wingereza ambayo imekuwa inapata matokeo ambayo hayawaridhishi mashabiki wa timu hiyo, Van Gaal amesema kikosi chake...