Van Gaal aanza kuhofia kibarua chake Man United
Wayne Rooney akibadilishana mawazo na Louis van Gaal wakati wa mazoezi ya kujifua.(Picha na Getty Images).
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal amesema anaanza kuingiwa na hofu ya kibarua chake baada ya sare ya bila kufungana dhidi ya PSV Eindhoven ya Uholanzi katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Van Gaal amesema imeingiwa na hofu hiyo kutokana na mashabiki wa timu hiyo kutaka kupata magoli mengi jambo ambalo limekuwa ngumu kwa wachezaji wao hali...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo524 Jul
Kocha mpya wa Man U, Van Gaal aanza vizuri kibarua chake, waiadhibu Angeles Galaxy 7-0
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Van Gaal aanza kwa kishindo Man United
11 years ago
Michuzi
Kocha mpya wa Man United Louis van Gaal aanza kazi kwa mikwara

"Msimu uliopita mmemaliza ligi mkiwa nafasi ya saba kwa hiyo nyie sio klabu kubwa duniani. Mnahitaji kujidhihirisha wenyewe, ingawa dunia nzima wanazungumzia Manchester United - hiyo ndio tofauti", alisema.
"Hii ni changamoto kubwa na ndio maana...
9 years ago
Mtanzania22 Dec
Van Gaal apewa michezo miwili kulinda kibarua chake
MANCHESTER, ENGLAND
KOCHA wa klabu ya Manchester United, Louis van Gaal, amepewa michezo miwili ya kufanya vizuri ili kuweza kulinda ajira yake ndani ya timu hiyo.
Baada ya Manchester United kupokea kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Norwich kwenye uwanja wa nyumbani katika michuano ya Ligi Kuu, bodi ya klabu hiyo ilikaa na kuchunguza maendeleo ya klabu hiyo ambapo wamepanga kumpa michezo miwili.
Endapo kocha huyo atashindwa kufanya vizuri katika michezo huyo, basi ataungana na Jose Mourinho,...
11 years ago
GPL
VAN GAAL AENDELEZA FURAHA MAN UNITED
9 years ago
BBCSwahili04 Nov
Man United: van Gaal ''mimi si kiziwi''
11 years ago
Mwananchi01 Sep
Van Gaal: Man United bado sana
11 years ago
BBCSwahili19 May
9 years ago
Dewji Blog06 Dec
Van Gaal azungumzia nafasi ya Man United kushinda Uefa Champion League
Louis Van Gaal.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Baada ya kutoa sare na timu ya West Ham United, Kocha wa Manchester United, Mdachi Louis Van Gaal amezungumzia nafasi ya timu yake kama inauwezo wa kutwaa ubingwa wa klabu bingwa barani Ulaya (UEFA Champion League).
Majibu ya kocha huyo yalitegemewa na watu wengi kutokana na mwenendo ulivyo kwa sasa kwa klabu hiyo kongwe ya nchini Wingereza ambayo imekuwa inapata matokeo ambayo hayawaridhishi mashabiki wa timu hiyo, Van Gaal amesema kikosi chake...