Kocha mpya wa Man U, Van Gaal aanza vizuri kibarua chake, waiadhibu Angeles Galaxy 7-0
Kocha mpya wa Manchester United, Louis van Gaal ameanza vizuri kibarua chake cha kukinoa kikosi hicho baada ya kupata ushindi wa goli 7-0 dhidi ya Los Angeles Galaxy katika mchezo wa kirafiki uliochezwa nchini Marekani. Man U walionekana kucheza soka la kuelewana zaidi ambapo mpaka wanakwenda mapumziko walikuwa wakiongoza mabao matatu kwa sifuri. Katika kipindi […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog26 Nov
Van Gaal aanza kuhofia kibarua chake Man United
Wayne Rooney akibadilishana mawazo na Louis van Gaal wakati wa mazoezi ya kujifua.(Picha na Getty Images).
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal amesema anaanza kuingiwa na hofu ya kibarua chake baada ya sare ya bila kufungana dhidi ya PSV Eindhoven ya Uholanzi katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Van Gaal amesema imeingiwa na hofu hiyo kutokana na mashabiki wa timu hiyo kutaka kupata magoli mengi jambo ambalo limekuwa ngumu kwa wachezaji wao hali...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-nymw8KOWZHk/U8gVuiCIYHI/AAAAAAAF3LM/kZ9GYAfOM-w/s72-c/article-2696004-1FB9976E00000578-909_964x373.jpg)
Kocha mpya wa Man United Louis van Gaal aanza kazi kwa mikwara
![](http://4.bp.blogspot.com/-nymw8KOWZHk/U8gVuiCIYHI/AAAAAAAF3LM/kZ9GYAfOM-w/s1600/article-2696004-1FB9976E00000578-909_964x373.jpg)
"Msimu uliopita mmemaliza ligi mkiwa nafasi ya saba kwa hiyo nyie sio klabu kubwa duniani. Mnahitaji kujidhihirisha wenyewe, ingawa dunia nzima wanazungumzia Manchester United - hiyo ndio tofauti", alisema.
"Hii ni changamoto kubwa na ndio maana...
9 years ago
Mtanzania22 Dec
Van Gaal apewa michezo miwili kulinda kibarua chake
MANCHESTER, ENGLAND
KOCHA wa klabu ya Manchester United, Louis van Gaal, amepewa michezo miwili ya kufanya vizuri ili kuweza kulinda ajira yake ndani ya timu hiyo.
Baada ya Manchester United kupokea kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Norwich kwenye uwanja wa nyumbani katika michuano ya Ligi Kuu, bodi ya klabu hiyo ilikaa na kuchunguza maendeleo ya klabu hiyo ambapo wamepanga kumpa michezo miwili.
Endapo kocha huyo atashindwa kufanya vizuri katika michezo huyo, basi ataungana na Jose Mourinho,...
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Van Gaal aanza kwa kishindo Man United
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBImVWISxAHDZ44HD0KBzqIr*rDeGmgqk1xva*mI2LQEtHqc*NRX6x-6GjPqRBn1-x*LB46ZkdLt-T2-nl38dKqVF/GAAL_1513996a.jpg)
LOUIS VAN GAAL KOCHA MPYA MANCHESTER UNITED
9 years ago
MillardAyo01 Jan
Hivi ndivyo Chicharito alivyozidi kumtia aibu kocha wa Man United Louis van Gaal …
Mshambuliaji wa kimataifa wa Mexico anayekipiga katika klabu ya Bayer Leverkusen ya Ujerumani Javier ‘Chicharito’ Hernandez, December 31 amerudi tena katika headlines za soka, baada ya mafanikio yake kuzidi kuonekana. Chicharito amerudi kwenye headlines baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi. Kufuatia kushinda tuzo hiyo ya mchezaji bora wa mwezi, hii inatafsirika […]
The post Hivi ndivyo Chicharito alivyozidi kumtia aibu kocha wa Man United Louis van Gaal …...
9 years ago
Bongo523 Oct
Kocha wa Man United, Louis Van Gaal anaamini Chris Smalling anafaa kuwa nahodha
9 years ago
Dewji Blog01 Jan
11 years ago
BBCSwahili19 May