Van Gaal apewa michezo miwili kulinda kibarua chake
MANCHESTER, ENGLAND
KOCHA wa klabu ya Manchester United, Louis van Gaal, amepewa michezo miwili ya kufanya vizuri ili kuweza kulinda ajira yake ndani ya timu hiyo.
Baada ya Manchester United kupokea kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Norwich kwenye uwanja wa nyumbani katika michuano ya Ligi Kuu, bodi ya klabu hiyo ilikaa na kuchunguza maendeleo ya klabu hiyo ambapo wamepanga kumpa michezo miwili.
Endapo kocha huyo atashindwa kufanya vizuri katika michezo huyo, basi ataungana na Jose Mourinho,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog26 Nov
Van Gaal aanza kuhofia kibarua chake Man United
Wayne Rooney akibadilishana mawazo na Louis van Gaal wakati wa mazoezi ya kujifua.(Picha na Getty Images).
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal amesema anaanza kuingiwa na hofu ya kibarua chake baada ya sare ya bila kufungana dhidi ya PSV Eindhoven ya Uholanzi katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Van Gaal amesema imeingiwa na hofu hiyo kutokana na mashabiki wa timu hiyo kutaka kupata magoli mengi jambo ambalo limekuwa ngumu kwa wachezaji wao hali...
11 years ago
Bongo524 Jul
Kocha mpya wa Man U, Van Gaal aanza vizuri kibarua chake, waiadhibu Angeles Galaxy 7-0
9 years ago
Mtanzania22 Sep
Brendan Rodgers kibarua chake matatani
LIVERPOOL, ENGLAND
BAADA ya Liverpool kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Norwich City, mashabiki wamemtaka bosi wa klabu hiyo kumfukuza
kocha wao Brendan Rodgers. Klabu hiyo mpaka sasa imefanikiwa kushinda michezo miwili kati ya sita iliyocheza
huku ikitoa sare miwili na kufungwa miwili.
Katika mchezo wa jana Liverpool ilikuwa nyumbani na kutoka sare dhidi ya klabu ambayo imepanda daraja msimu huu, hivyo mashabiki wa klabu hiyo wamemtumia ujumbe bosi wa klabu hiyo John Henry, kupitia akaunti yake...
11 years ago
BBCSwahili24 Jun
VAN GAAL : FIFA IMETUONEA
9 years ago
BBCSwahili26 Nov
Van Gaal:Tutashinda Wolfsburg
10 years ago
BBCSwahili15 Dec
Hatufikirii ubingwa:Van gaal
10 years ago
BBCSwahili25 Oct
Mourinho amsifu Van Gaal
10 years ago
BBCSwahili26 Dec
Van Gaal:Tunataka kushinda ligi
11 years ago
Mwananchi19 Jul
Van Gaal aanza kazi Manchester