Mbunge: Rais timua ma-DED wabadhirifu
MBUNGE wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM) amemwomba Rais Jakaya Kikwete kuwafukuza kazi mara moja wakurugenzi wote wa halmashauri, ambao wamefuja fedha zilizopaswa kutolewa mikopo kwa vijana na wanawake kwa lengo la kuwakomboa kiuchumi.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog19 Dec
Timua timua ya Makocha: baada ya Mourinho, Van Gaal naye ajitabiria kutimuliwa!!
Van Gaal
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Baada ya taarifa kutoka siku ya Alhamisi kuwa klabu ya Chelsea imemfukuza kazi aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Jose Mourinho, kocha wa Manchester United amesema hilo ni jambo la kushtukiza zaidi kwake na anahisi na yeye litamtokea kama ilivyomtokea mwenzake.
Van Gaal alisema kuwa jambo hilo limekuwa la haraka na hali jinsi ilivyo katika kikosi chake ambacho katika michezo mitano imeyopita haijapata ushindi anahisi na yeye atafukuzwa kama Mourinho ambaye...
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Timua timua Yanga yaibua ufisadi wa mabilioni ya fedha
10 years ago
Dewji Blog27 Mar
Rais apokea Ripoti ya CAG na kuagiza hatua kali zichukuliwe kwa wabadhirifu wa fedha za Serikali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameviagiza vyombo vya Serikali kubaini maofisa wote wa Serikali wanaohusishwa na matumizi mabaya ya fedha za Serikali, ikiwa ni pamoja na kutoa malipo bila nyaraka zozote, kutumia fedha nje ya Bajeti na kutoa malipo bila idhini ya ofisa masuhuli, ili wachukuliwe hatua kali za kisheria na hatua nyingine.
Aidha, Rais Kikwete ameagiza kuchukuliwa kwa hatua kali za kisheria kwa maofisa wote wa Serikali ambao wanahusika...
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
‘IGP timua askari Msimbazi’
BAADHI wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wamemtaka Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Ernest Mangu, kufanya mabadiliko ya askari katika Kituo cha Polisi Msimbazi, kutokana na kuhusishwa katika tuhuma...
9 years ago
Mtanzania21 Dec
Majaliwa: Tutawang’oa wabadhirifu
Na Mwandishi Wetu, Lindi
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amewaonya watendaji wa halmashauri nchini ambao watabainika kutumia vibaya fedha za Serikali na kusema kuwa watang’olewa kazini.
Kauli hiyo aliitoa jana mjini hapa, alipokuwa akizungumza na mamia ya wananchi waliofika kumsikiliza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa michezo wa Ilulu.
“Natoa onyo kwa watendaji wote wa halmashauri. Fedha ya Serikali itakayotumwa kwenu halafu mtu aifanyie ubadhirifu, ole wake. Yeyote...
11 years ago
Mwananchi27 Jul
RC Ruvuma kuwabana wabadhirifu
9 years ago
StarTV01 Sep
Chacharito aondoka Man United,Unajua Timua aliyotimkia Soma hapa.
![](http://4.bp.blogspot.com/-R_ZrmQ5OKcs/VeSzuATnQVI/AAAAAAABnMQ/3sbrEMH2M2M/s640/2BDA60E300000578-3217039-Javier_Hernandez_poses_with_Bayer_Leverkusen_sporting_director_R-a-10_1441041129702.jpg)
9 years ago
Mtanzania16 Sep
Dk. Magufuli awavutia pumzi wabadhirifu
*Awataka wezi wa fedha za wakulima waanze kutubu
Na Bakari Kimwanga, Sikonge
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amewaonya watu wanaofanya uwakala wa kuwaibia wakulima wa tumbaku na kuwataka waanze kutubu kabla hajaingia Ikulu.
Amesema watu hao, wamekuwa wakifanyakazi ya kujinufaisha wao, huku wakulima wa zao hilo wakibaki masikini wa kutupwa.
Dk. Magufuli, alitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti jana katika mikutano ya kampeni aliyoifanya katika wilaya za...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
Kamani: Nitapambana na watumishi wabadhirifu
WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Titus Kamani, ameahidi kupambana na watumishi watakaojihusisha na ubadhirifu ndani ya wizara hiyo. Waziri Kamani alitoa tahadhari hiyo jana, jijini Dar es Salaama...