Kamani: Nitapambana na watumishi wabadhirifu
WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Titus Kamani, ameahidi kupambana na watumishi watakaojihusisha na ubadhirifu ndani ya wizara hiyo. Waziri Kamani alitoa tahadhari hiyo jana, jijini Dar es Salaama...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania16 May
Nkurunziza: Nitapambana
Na Waandishi Wetu, Bujumbura na Dar
RAIS Pierre Nkurunziza wa Burundi ameonya kuwa atalipa kisasi kwa yeyote atakayefanya mashambulizi nchini kwake.
Hata hivyo baadhi ya wachambuzi wa siasa za Burundi wanasema kauli hiyo inailenga nchi ya Rwanda, kwa kuwa Nkurunziza amesema vita yoyote itapiganwa upande wa pili wa mpaka.
Nkurunziza jana amepokelewa kwa shangwe alipowasili Bujumbura, ambao ni mji mkuu wa nchi hiyo akitokea nyumbani kwao mkoani Ngozi, huku akiendeshwa katika gari lililo wazi...
9 years ago
Mwananchi17 Oct
Magufuli: Nitapambana na maharamia
9 years ago
Mtanzania26 Aug
Magufuli: Nitapambana na wala rushwa
Na Bakari Kimwanga, Rukwa
MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amesema ikiwa atachaguliwa kuongoza Serikali ya awamu ya tano atahakikisha anapambana na watendaji wala rushwa serikalini.
Amesema watendaji hao ndiyo wamekuwa wakikwamisha juhudi za Serikali kupeleka maendeleo kwa wananchi hali inayosababisha malalamiko ya wananchi.
Kauli hiyo aliitoa jana kwa nyakati tofauti alipohutubia wananchi katika mikutano ya kampeni katika mikoa ya Katavi na Rukwa.
Dk....
10 years ago
Mwananchi05 Jun
Ngeleja: Nitapambana na maadui sita
11 years ago
Mwananchi27 Jul
RC Ruvuma kuwabana wabadhirifu
9 years ago
Mtanzania21 Dec
Majaliwa: Tutawang’oa wabadhirifu
Na Mwandishi Wetu, Lindi
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amewaonya watendaji wa halmashauri nchini ambao watabainika kutumia vibaya fedha za Serikali na kusema kuwa watang’olewa kazini.
Kauli hiyo aliitoa jana mjini hapa, alipokuwa akizungumza na mamia ya wananchi waliofika kumsikiliza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa michezo wa Ilulu.
“Natoa onyo kwa watendaji wote wa halmashauri. Fedha ya Serikali itakayotumwa kwenu halafu mtu aifanyie ubadhirifu, ole wake. Yeyote...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/g7CYaJh1SvJz2UoIQRJqbM7xUNRZfeBdIVdeDvHte29c8Al3soqlsGA4moolHvsO3FHRYdcp*2sTHjyF5c7Z-D83dSWDbMDc/manji.jpg)
Okwi: Nitapambana na Yanga hadi tone la mwisho
9 years ago
Mtanzania16 Sep
Dk. Magufuli awavutia pumzi wabadhirifu
*Awataka wezi wa fedha za wakulima waanze kutubu
Na Bakari Kimwanga, Sikonge
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amewaonya watu wanaofanya uwakala wa kuwaibia wakulima wa tumbaku na kuwataka waanze kutubu kabla hajaingia Ikulu.
Amesema watu hao, wamekuwa wakifanyakazi ya kujinufaisha wao, huku wakulima wa zao hilo wakibaki masikini wa kutupwa.
Dk. Magufuli, alitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti jana katika mikutano ya kampeni aliyoifanya katika wilaya za...
9 years ago
Mwananchi11 Dec
Samia: Tutapambana na wabadhirifu wa mali za umma