Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli: Nitapambana na wala rushwa

magufuliNa Bakari Kimwanga, Rukwa

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amesema ikiwa atachaguliwa kuongoza Serikali ya awamu ya tano atahakikisha anapambana na watendaji wala rushwa serikalini.

Amesema watendaji hao ndiyo wamekuwa wakikwamisha juhudi za Serikali kupeleka maendeleo kwa wananchi hali inayosababisha malalamiko ya wananchi.

Kauli hiyo aliitoa jana kwa nyakati tofauti alipohutubia wananchi katika mikutano ya kampeni  katika mikoa ya Katavi na Rukwa.

Dk....

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AHIDI KUANZISHA MAHAKAMA YA MAFISADI NA WALA RUSHWA IWAPO ATACHAGULIWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi,Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi katika viwanja vya Nzovwe mjini Mbeya jioni ya leo,kwenye mkutano wa kampeni ya kuwaomba ridhaa Watanzania ya kuwaongoza katika awamu ya tano.


Dkt Magufuli amesema kuwa serikali atakayoingoza atakapopata ridhaa ya kuingia Ikulu,itazifanya huduma za Afya kuwa bora na kuwabana wahudumu wa afya wenye tabia ya kuchukua dawa na kuziuza kwa watu binafsi.



Magufuli ambaye...

 

9 years ago

Vijimambo

MAGUFULI AHIDI KUANZISHA MAHAKAMA YA MAFISADI NA WALA RUSHWA IWAPO ATACHAGULIWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi,Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi katika viwanja vya Nzovwe mjini Mbeya jioni ya leo,kwenye mkutano wa kampeni ya kuwaomba ridhaa Watanzania ya kuwaongoza katika awamu ya tano. Mbunge wa zamani wa jimbo la Kyela Mzee John Mwakipesile akimpigia debe Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt  John Pombe Magufuli wakati mgombea huyo alipofika jimboni humo...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli: Nitapambana na maharamia

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesema atapambana na maharamia wa kigeni wanaovua samaki katika Bahari ya Hindi, ili kulinda uchumi wa Tanzania.

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge: Wala rushwa wanyongwe

BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wamesema wala rushwa pamoja na wahujumu uchumi adhabu yao iwe ni kunyongwa. Wametaka Katiba mpya inayoenda kuandikwa itamke hivyo ili kufanya viongozi wa kisiasa kuogopa kama ilivyo kwenye nchi nyingine.

 

10 years ago

Habarileo

Watendaji wala rushwa wanawaponza waadilifu

Modestus KilufiMBUNGE wa Mbarali, Modestus Kilufi (CCM), amesema watendaji wala rushwa na mafisadi wanasababisha mawaziri waadilifu walaumiwe bila sababu.

 

10 years ago

Mwananchi

Trafiki wala rushwa kukiona watadhibitiwa

Askari wa Usalama barabarani wametakiwa kuhakikisha wanajisafisha na lawama za rushwa zinazofedhehesha na kulichafua Jeshi la Polisi.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Trafiki wala rushwa Pwani kukiona’

>Jeshi la Polisi mkoani Pwani, limeweka bayana kuwa kamwe halitasita kuwachukulia hatua kali na za kisheria askari wake wa usalama barabarani itakapopata taarifa za uhakika za wao kuhusika na matukio yanayokiuka maadili ya jeshi hilo ikiwemo vitendo vya rushwa.

 

10 years ago

Habarileo

Majaji wafunzwa ‘kufunga’ wala rushwa

 Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dk Edward HoseaBAADA ya kupoteza kesi nyingi inazopeleka mahakamani, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imeshtuka na kuleta wataalamu kutoka nje ya nchi kuwafundisha mahakimu, majaji, waendesha mashitaka na wapelelezi wa kesi za rushwa juu ya namna ya kuwasilisha ushahidi ukiwemo ushahidi wa mazingira ambao ni muhimu katika kesi za rushwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani