Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC Ruvuma kuwabana wabadhirifu

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu ameahidi kuwachukulia hatua watumishi na madiwani wa Halmashauri ya Mbinga ambao watabainika wamefanya ubadhirifu kwenye ununuzi na miradi ya maendeleo pindi atakapopewa ushahidi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Majaliwa: Tutawang’oa wabadhirifu

majaliwaNa Mwandishi Wetu, Lindi

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amewaonya watendaji wa halmashauri nchini  ambao watabainika kutumia vibaya fedha za Serikali na kusema kuwa watang’olewa kazini.

Kauli hiyo aliitoa jana mjini hapa, alipokuwa akizungumza na mamia ya wananchi waliofika kumsikiliza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa michezo wa Ilulu.

“Natoa onyo kwa watendaji wote wa halmashauri. Fedha ya Serikali itakayotumwa kwenu halafu mtu aifanyie ubadhirifu,  ole wake. Yeyote...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kamani: Nitapambana na watumishi wabadhirifu

WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Titus Kamani, ameahidi kupambana na watumishi watakaojihusisha na ubadhirifu ndani ya wizara hiyo. Waziri Kamani alitoa tahadhari hiyo jana, jijini Dar es Salaama...

 

9 years ago

Mtanzania

Dk. Magufuli awavutia pumzi wabadhirifu

Pg 1 magufuli*Awataka wezi wa fedha za wakulima waanze kutubu

Na Bakari Kimwanga, Sikonge

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amewaonya watu wanaofanya uwakala wa kuwaibia wakulima wa tumbaku na kuwataka waanze kutubu kabla hajaingia Ikulu.

Amesema watu hao, wamekuwa wakifanyakazi ya kujinufaisha wao, huku wakulima wa zao hilo wakibaki masikini wa kutupwa.

Dk. Magufuli, alitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti jana  katika mikutano ya kampeni aliyoifanya katika wilaya za...

 

9 years ago

Mwananchi

Samia: Tutapambana na wabadhirifu wa mali za umma

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea na mapambano dhidi ya vitendo vya ubadhirifu, wizi na ufujaji wa fedha za umma ili kufikia Malengo ya Kimataifa ya Mendeleo Endelevu .     

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge: Rais timua ma-DED wabadhirifu

MBUNGE wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM) amemwomba Rais Jakaya Kikwete kuwafukuza kazi mara moja wakurugenzi wote wa halmashauri, ambao wamefuja fedha zilizopaswa kutolewa mikopo kwa vijana na wanawake kwa lengo la kuwakomboa kiuchumi.

 

10 years ago

Mwananchi

CAG: Wabadhirifu, mafisadi sasa kukiona

Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Jasper Nicholaus Mero amesema pamoja na pongezi ambazo Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi inapokea, wananchi wa kawaida wameonyesha kutoridhishwa na hatua zinazochukuliwa dhidi ya watu wanaobainika kufuja mali za umma, kutumia mamlaka yao vibaya kwa mujibu wa ripoti za CAG.

 

11 years ago

Mwananchi

Askofu awalipua wabadhirifu katika ibada ya Krismas

>Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Geita, Damian Dallu amesema viongozi wengi wamekuwa wakijidanganya kwa kuwa wabinafsi na wenye kujirundikia mali na kutojali watu maskini kwa kuamini kufanya hivyo watajitengenezea mazingira ya kufurahisha nafsi zao.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais apokea Ripoti ya CAG na kuagiza hatua kali zichukuliwe kwa wabadhirifu wa fedha za Serikali

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameviagiza vyombo vya Serikali kubaini maofisa wote wa Serikali wanaohusishwa na matumizi mabaya ya fedha za Serikali, ikiwa ni pamoja na kutoa malipo bila nyaraka zozote, kutumia fedha nje ya Bajeti na kutoa malipo bila idhini ya ofisa masuhuli, ili wachukuliwe hatua kali za kisheria na hatua nyingine.

Aidha, Rais Kikwete ameagiza kuchukuliwa kwa hatua kali za kisheria kwa maofisa wote wa Serikali ambao wanahusika...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania yashauriwa kuwabana wawekezaji

 Ujumbe kutoka Tanzania ukiwa Chuo Kikuu cha Calgary katika jimbo la Alberta nchini Canada.Katika picha kutoka kushoto ni, Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga (wa saba), Naibu Waziri TAMISEMI, Kassim Majaliwa (wa tano), Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira, Ummy Mwalimu (wa sita). Wabunge, Richard Ndasa (wa nne), Deogratias Ntukamazina (wa tatu), Murtaza Mangungu  (wa pili) na Shafin Sumar (wa kwanza kushoto. Wengine (kulia) ni wataalam kutoka Wizara ya Nishati na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani