Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yashauriwa kuwabana wawekezaji

 Ujumbe kutoka Tanzania ukiwa Chuo Kikuu cha Calgary katika jimbo la Alberta nchini Canada.Katika picha kutoka kushoto ni, Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga (wa saba), Naibu Waziri TAMISEMI, Kassim Majaliwa (wa tano), Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira, Ummy Mwalimu (wa sita). Wabunge, Richard Ndasa (wa nne), Deogratias Ntukamazina (wa tatu), Murtaza Mangungu  (wa pili) na Shafin Sumar (wa kwanza kushoto. Wengine (kulia) ni wataalam kutoka Wizara ya Nishati na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Tanesco kuwabana wawekezaji wababaishaji

WIZARA ya Nishati na Madini imesema itahakikisha haitoi mwanya kwa wawezezaji wababaishaji wanaotaka kuwekeza kwenye nishati ya umeme na kuwaingiza Watanzania kwenye mgawo wa umeme bila sababu. Katibu Mkuu wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jamii yashauriwa kuendeleza miradi inayoanzishwa ili kuvutia wawekezaji

DSC04364

Dwani wa kata ya Ihanja (CCM) Ayubu Noah, akizungumza kwenye hafla ya kata hiyo ya Ihanja, kukabdhiwa  ili wauendeleze mradi wa ushiriki wa wanaume katika afya ya uzazi ni chanzo cha mabadiliko katika afya ya mama na mtoto.Kulia ni Afisa tathimini na ufuatiliaji TMEP, George Mutasingwa John na kushoto ni Afisa wa shirika la HAPA, Joseph Mnyambi.

Na Nathaniel  Limu, Ikungi

WAKAZI wa  vijijini tarafa ya Ihanja wilaya ya Ikungi mkoani Singida,wamehimizwa  kujenga utamaduni wa kuendeleza miradi...

 

9 years ago

Mwananchi

Tanzania yashauriwa kuboresha sera za sayansi

Tanzania imeshauriwa kuzifanyia marekebisho sera za sayansi na teknolojia pamoja na ile ya viwanda na biashara, ili kuhimiza ubunifu utakaochangia kuimarika kwa uzalishaji viwandani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wawekezaji wa Kichina Tanzania

Wawekezaji wa Kichina nchini Tanzania wamelalamikiwa kufanya biashara za reja reja hali ambayo inadaiwa kuwanyima fursa wenyeji.

 

9 years ago

Mwananchi

Wawekezaji wadogo wa Tanzania waukata

Benki ya Exim Tanzania imetangaza uuzaji wa dhamana ya kwanza ya muda mrefu itakayowezesha ushiriki wa wawekezaji wadogo nchini kwa lengo la kupata Sh15 bilioni.

 

10 years ago

GPL

WAWEKEZAJI WA KICHINA WANAVYOCHOMA MISHIKAKI TANZANIA

UWEKEZAJI wa Wachina nchini Tanzania umelalamikiwa na wananchi kwa watu hao  kufanya biashara za rejareja kama vile kuchoma mishikaki, kuuza nguo, simu na vitu vingine mitaani, jambo ambalo linawanyima fursa  wenyeji wasio na uwezo wa biashara kubwa. Katika maeneo mbalimbali ya jijini Dar es Salaam si ajabu kukutana na baadhi ya Wachina wakiwa na biashara mikononi kama wafanyabishara wadogo nchini humo maarufu kama...

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania yaongoza EAC kuvutia wawekezaji

Tanzania ni nchi ya kwanza kwa Afrika Mashariki katika kuvutia uwekezaji kutokana na sera iliyopo ikiwamo kudhibiti mfumuko wa bei.

 

10 years ago

Vijimambo

WAWEKEZAJI WAMAREKANI WATUA TANZANIA KUTIZAMA FULSA ZA UWEKEZAJI

Baadhi ya Marais,Wenyeviti na Wakurugenzi wa Makampuni mbalimbali ya nchini Marekani waliokuja nchini kwa lengo la kutizama fursa za uwekezaji.Afisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Washington DC,Suleiman Saleh (katikati) akibadilishana mawazo na mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya kufua Umeme ya TANASI ,William Crawford.Ziara hiyo inayo ratibiwa na Ubalozi wa Tanzania,Washington DC ni ya siku ambapo wageni hao wataembelea sehemu mbalimbali kujionea fursa za uwekezaji.Afisa Ubalozi wa Tanzaini...

 

10 years ago

Michuzi

Kamati ya Maandalizi ya Tuzo za Filamu Tanzania yashauriwa kutangaza Tasnia ya Filamu kimataifa

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (kushoto) akizungumza na wadau wa filamu waliofika katika Ofisi za Wizara hiyo kuwasilisha taarifa ya maandalizi ya Tuzo za TAFA nchini itakayofanyika tarehe 23 Mei mwaka huu. Kulia ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fisoo.Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tuzo za TAFA Bibi. Caroline Gachara Gul (kulia) akiwasilisha taarifa ya maandalizi ya Tuzo za TAFA nchini kwa Uongozi wa Wizara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani