Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAWEKEZAJI WA KICHINA WANAVYOCHOMA MISHIKAKI TANZANIA

UWEKEZAJI wa Wachina nchini Tanzania umelalamikiwa na wananchi kwa watu hao  kufanya biashara za rejareja kama vile kuchoma mishikaki, kuuza nguo, simu na vitu vingine mitaani, jambo ambalo linawanyima fursa  wenyeji wasio na uwezo wa biashara kubwa. Katika maeneo mbalimbali ya jijini Dar es Salaam si ajabu kukutana na baadhi ya Wachina wakiwa na biashara mikononi kama wafanyabishara wadogo nchini humo maarufu kama...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Wawekezaji wa Kichina Tanzania

Wawekezaji wa Kichina nchini Tanzania wamelalamikiwa kufanya biashara za reja reja hali ambayo inadaiwa kuwanyima fursa wenyeji.

 

10 years ago

Vijimambo

Madaktari wa kichina waenda Mapumziko kusherehekea mwaka mpya wa kichina

Kiongozi wa Madaktari wa Kichina Dr. Liu Yaping akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi zawadi ya pambo la Ofisi wakati alipofika Ofisini kwa Balozi Vuga Mjini Zanzibar na Timu yake ya Madaktari kuaga wakirejea nyumbani kwa mapumziko ya mwezi mmoja kiusherehekea mwaka mpya wa Kichina.Pembeni kushoto ni mtapta wao Bibi Liu HualianDr. Liu Yaping kiongozi wa Madaktari wa Kichina wanaotoa huduma za Afya Hospitali za Zanzibar kati kati akiwa sambamba na Mtapta wao Bibi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kichina kufundishwa shuleni Tanzania

Tanzania itaanza kufundisha lugha ya Kichina kama somo katika shule za sekondari hasa kidato cha tano na cha sita.

 

10 years ago

BBCSwahili

Je, umewahi kula mishikaki ya chura?

Mishikaki ya chura ni mitamu kuliko ya samaki au nyama ya ng'ombe? Wananchi wengi wa Nigeria hawashawishiki kuila

 

10 years ago

GPL

PICHA YA DIAMOND AKILA MISHIKAKI GUMZO

Stori: Musa Mateja
PICHA ya staa wa Nasema Nao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ inayomuonesha akila mishikika uswahilini imezua gumzo la aina yake mitandaoni. Staa wa Nasema Nao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akila mishikika uswahilini. Picha hiyo ambayo ilipigwa mwaka mmoja uliopita maeneo ya Tip Top, Manzese jijini Dar, imeibua mjadala mpya juzikati kwenye mitandao ya kijamii ambapo wengine walimpongeza kwa kitendo...

 

9 years ago

Mwananchi

Wawekezaji wadogo wa Tanzania waukata

Benki ya Exim Tanzania imetangaza uuzaji wa dhamana ya kwanza ya muda mrefu itakayowezesha ushiriki wa wawekezaji wadogo nchini kwa lengo la kupata Sh15 bilioni.

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania yashauriwa kuwabana wawekezaji

 Ujumbe kutoka Tanzania ukiwa Chuo Kikuu cha Calgary katika jimbo la Alberta nchini Canada.Katika picha kutoka kushoto ni, Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga (wa saba), Naibu Waziri TAMISEMI, Kassim Majaliwa (wa tano), Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira, Ummy Mwalimu (wa sita). Wabunge, Richard Ndasa (wa nne), Deogratias Ntukamazina (wa tatu), Murtaza Mangungu  (wa pili) na Shafin Sumar (wa kwanza kushoto. Wengine (kulia) ni wataalam kutoka Wizara ya Nishati na...

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania yaongoza EAC kuvutia wawekezaji

Tanzania ni nchi ya kwanza kwa Afrika Mashariki katika kuvutia uwekezaji kutokana na sera iliyopo ikiwamo kudhibiti mfumuko wa bei.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani