Madaktari wa kichina waenda Mapumziko kusherehekea mwaka mpya wa kichina
![](http://1.bp.blogspot.com/-d4y81680bE8/VMAS2Px0D_I/AAAAAAABipY/WPMVzR1ri4g/s72-c/848.jpg)
Kiongozi wa Madaktari wa Kichina Dr. Liu Yaping akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi zawadi ya pambo la Ofisi wakati alipofika Ofisini kwa Balozi Vuga Mjini Zanzibar na Timu yake ya Madaktari kuaga wakirejea nyumbani kwa mapumziko ya mwezi mmoja kiusherehekea mwaka mpya wa Kichina.Pembeni kushoto ni mtapta wao Bibi Liu Hualian
Dr. Liu Yaping kiongozi wa Madaktari wa Kichina wanaotoa huduma za Afya Hospitali za Zanzibar kati kati akiwa sambamba na Mtapta wao Bibi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-9vEFjT969Vc/VX8lPhFH-VI/AAAAAAABx58/7eBdd-AH44g/s72-c/244.jpg)
Balozi Seif awaandalia Madaktari wa Kichina tafrija maalum ya kuwaaga
![](http://1.bp.blogspot.com/-9vEFjT969Vc/VX8lPhFH-VI/AAAAAAABx58/7eBdd-AH44g/s640/244.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-3MwN9FOYcbY/VX8lPkNhz6I/AAAAAAABx6E/QPOWYxh0glg/s640/258.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-1UVe1_cp2J4/VX8lPof4akI/AAAAAAABx6A/Q3N7W8UQnz4/s640/262.jpg)
5 years ago
MichuziMadaktari wa Kichina watoa mafunzo ya kinga na tiba ya ugonjwa wa corona Sudan
Maafisa zaidi ya 50 wa afya nchini Sudan wanashiriki katika zoezi hilo ambalo lengo lake kuu ni kuchukua hatua za haraka za kuzuia na kutibu ugonjwa huo hatari.
Mmoja wa madaktari hao kutoka China, Li Changhong, amesema kuwa, timu yake ina mawasiliano ya karibu...
10 years ago
BBCSwahili20 Apr
Wawekezaji wa Kichina Tanzania
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
Wafanyabiashara wa Kichina kulinda viwango
CHAMA cha Wafanyabiashara kutoka China wanaofanya shughuli zao chini ya mwamvuli wa Kariakoo Chinese Chamber of Commerce (KCCC) kimetoa ahadi ya kulinda viwango vya ubora wa bidhaa zisambazazwo na wanachama...
10 years ago
BBCSwahili09 Sep
Agutuka na kuanza kuongea kichina
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
SKRINI TACHI, BETRI YA KICHINA!-8
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kt*hMWIEF*B66rzP7SkyDD-X11snXFFb68lrAnIbsdQx7R5OLRgRltgG8hsHIu0DD2lyWKeSEGW9NBuYnYzpViwWJBN3n2FR/file.jpg?width=650)
MAIMARTHA ANANGWA MAKALIO YA KICHINA
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Daktari wa ‘kichina’ anaswa Babati
WATU saba wametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi mkoani Manyara, akiwemo daktari bandia na wengine katika mtandao wa wizi wa magari uliyotokea jijini Dar es Salaam kwa nyakati tofauti. Kamanda...
10 years ago
BBCSwahili27 Nov
Duka lawakataa wateja wa kichina