Majaliwa: Tutawang’oa wabadhirifu
Na Mwandishi Wetu, Lindi
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amewaonya watendaji wa halmashauri nchini ambao watabainika kutumia vibaya fedha za Serikali na kusema kuwa watang’olewa kazini.
Kauli hiyo aliitoa jana mjini hapa, alipokuwa akizungumza na mamia ya wananchi waliofika kumsikiliza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa michezo wa Ilulu.
“Natoa onyo kwa watendaji wote wa halmashauri. Fedha ya Serikali itakayotumwa kwenu halafu mtu aifanyie ubadhirifu, ole wake. Yeyote...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
CCM Blog![](http://3.bp.blogspot.com/-slj5kZenQ3E/VmG0l_MVMzI/AAAAAAAA1b4/FHGu_bGtYuo/s72-c/1.jpg)
PICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-slj5kZenQ3E/VmG0l_MVMzI/AAAAAAAA1b4/FHGu_bGtYuo/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Vd0xHojhppo/VmG0lexvtUI/AAAAAAAA1b0/iW1seV--6-0/s640/2.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_UkrAR7fxW0/XvbJYXjtkuI/AAAAAAALvog/jE8okzxzsGwaDXKAf0JSMkSsel_tDTOzACLcBGAsYHQ/s72-c/3.jpg)
TUTAWANG’OA WENYE KUTOA RUSHWA MAKAMU WA RAIS AONYA
Aidha Barozi Seif Ali Idd ameonya kuwa kuna baadhi ya watu wenye nia ya kugombea uongozi lakini badala ya kwenda wenyewe wanatuma watu wengine kutoa rushwa kwa niaba yao...
11 years ago
Mwananchi27 Jul
RC Ruvuma kuwabana wabadhirifu
9 years ago
Mtanzania16 Sep
Dk. Magufuli awavutia pumzi wabadhirifu
*Awataka wezi wa fedha za wakulima waanze kutubu
Na Bakari Kimwanga, Sikonge
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amewaonya watu wanaofanya uwakala wa kuwaibia wakulima wa tumbaku na kuwataka waanze kutubu kabla hajaingia Ikulu.
Amesema watu hao, wamekuwa wakifanyakazi ya kujinufaisha wao, huku wakulima wa zao hilo wakibaki masikini wa kutupwa.
Dk. Magufuli, alitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti jana katika mikutano ya kampeni aliyoifanya katika wilaya za...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
Kamani: Nitapambana na watumishi wabadhirifu
WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Titus Kamani, ameahidi kupambana na watumishi watakaojihusisha na ubadhirifu ndani ya wizara hiyo. Waziri Kamani alitoa tahadhari hiyo jana, jijini Dar es Salaama...
9 years ago
Mwananchi11 Dec
Samia: Tutapambana na wabadhirifu wa mali za umma
10 years ago
Mwananchi08 Nov
CAG: Wabadhirifu, mafisadi sasa kukiona
10 years ago
Habarileo06 Nov
Mbunge: Rais timua ma-DED wabadhirifu
MBUNGE wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM) amemwomba Rais Jakaya Kikwete kuwafukuza kazi mara moja wakurugenzi wote wa halmashauri, ambao wamefuja fedha zilizopaswa kutolewa mikopo kwa vijana na wanawake kwa lengo la kuwakomboa kiuchumi.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-nEjqVtOzpAw/Vk4WgeqDrNI/AAAAAAAIG4U/vLbV7_5mKHo/s72-c/56ea3d30-79b4-4e99-8503-3764367fc668.jpg)
Waziri Mkuu Mteule Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa kuapishwa kesho
![](http://1.bp.blogspot.com/-nEjqVtOzpAw/Vk4WgeqDrNI/AAAAAAAIG4U/vLbV7_5mKHo/s640/56ea3d30-79b4-4e99-8503-3764367fc668.jpg)
Sherehe za kumuapisha Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa (pichani), Waziri Mkuu Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitafanyika katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Novemba, 2015 kuanzia saa 4.00 Asubuhi. Sherehe hizo zinafanyika siku moja baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha jina lake kwa kura nyingi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia uteuzi uliofanywa na Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...