Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Okwi: Nitapambana na Yanga hadi tone la mwisho

Mwenyekiti wa Yanga Yusuph Manji. Na Sweetbert Lukonge
YETU macho katika hili; Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi, ambaye juzi jioni alijiunga na Simba kudai kuwa atapambana na Wanajangwani hao kuhakikisha haki yake inapatikana. Maneno hayo ya Okwi yamekuja baada ya kudai kuwa Yanga imevunja naye mkataba kisha kumfungulia mashtaka katika Shirikisho la Soka Tanzania...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ngetich apigana hadi mwisho marathon

Ujasiri wa mwanariadha wa Kenya katika mbio za marathon huko Texas, Hyvon Ngetich umemzawadia

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi ya IPTL yapigwa kalenda hadi mwisho wa mwaka

Kesi ya kupinga maazimio ya Bunge iliyokuwa ianze kusikilizwa leo imeahirishwa hadi siku ya kufunga mwaka Desemba 31, 2014.

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga kumshtaki Okwi

Uongozi wa Yanga umedai kuwa utamshtaki kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), mshambuliaji wao, Emmanuel Okwi iwapo hatajisalimisha hadi ifikapo Agosti 4.

 

11 years ago

GPL

Okwi asaini Yanga SC

Na Khatimu Naheka
USAJILI wa kishindo, Yanga imefanya kufuru kwa kufunga dirisha dogo la usajili kwa kumsajili kiungo mshambuliaji wa zamani wa Simba, Emmanuel Arnold Okwi na ataanza kuichezea klabu hiyo kwenye mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara.
Okwi, ambaye ni mchezaji wa timu ya taifa ya Uganda, The Cranes, amesaini kuichezea Yanga kwa miaka miwili na nusu na Shirikisho la Soka la Uganda (Fufa) limemuidhinisha rasmi kuwa...

 

11 years ago

GPL

OKWI ATUA YANGA SC

Emmanuel Okwi. Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Simba Emmanuel Okwi kutoka klabu ya SC Villa. Habari za uhakika ambazo mtandao huu imezipata ni kwamba Yanga wamelipa kiasi cha dola za Kimarekani 20,000 kama ada ya uhamisho na kumsainisha Okwi mkataba wa miaka miwili. Okwi anatarajia kuwasili nchini hivi karibu akitokea Uganda, ameiomba Yanga abaki nchini Uganda kumalizia...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Okwi aituliza Yanga



NA VICTOR MKUMBO BAO pekee lililofungwa dakika ya 51 na  Emmanuel Okwi, limeiwezesha Simba kuibuka na ushindi wa bao 1-0, katika mchezo wa Ligi Kuu ulioikutanisha timu hiyo na Yanga. Okwi alipachika bao hilo kwa shuti kali la mbali baada ya kumchungulia Bartez aliyetoka nje ya lango na mpira huo kujaa moja kwa moja wavuni. Ushindi huo unaipa jeuri Simba ya kuendelea kuwatambia mahasimu wao ambao wamekuwa wakiibeza Simba baada ya kufanya  vibaya katika baadhi ya michezo yake ya ligi. Katika...

 

11 years ago

GPL

Okwi ayeyuka Yanga SC

Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi. John Joseph na Sweetbert Lukonge
SAKATA la mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi kudaiwa kususia mazoezi, sasa limeendelea mbele zaidi ya ilivyoelezwa awali. Habari mpya ni kuwa Okwi, raia wa Uganda, amegoma kabisa hata kujiunga na wenzake walioweka kambi Bagamoyo na siyo kususia mazoezi pekee, kisa kikiwa ni kutaka kumaliziwa fedha zake za usajili ambazo inadaiwa bado anadai. Kutokana na...

 

5 years ago

CCM Blog

SAMATTA ACHEZA HADI MWISHO ASTON VILLA YATOA SARE YA 1-1 NA NEWCASTLE ST. JAMES' PARK

Na Mwandshi Wetu, NEWCASTLEMSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana amecheza muda wote, Aston Villa ikitoa sare ya 1-1 na Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St. James' Park.
Wenyeji, Newcastle United walitangulia kwa bao la Dwight Gayle dakika ya 68 kabla ya Ahmed Elmohamady kuisawazishia Newcastle United dakika ya 83.
Kwa sare hiyo, Aston Villa inafikisha pointi 27 baada ya kucheza mechi 31, ingawa inabaki nafasi ya 19 mbele ya Norwich City...

 

11 years ago

TheCitizen

Okwi, Kiiza link up with Yanga

>Young Africans’ Ugandan forwards Emmanuel Okwi and Hamis Kiiza landed in Cairo yesterday where they linked up with teammates ahead of a decisive CAF Champions League match tomorrow.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani