SAMATTA ACHEZA HADI MWISHO ASTON VILLA YATOA SARE YA 1-1 NA NEWCASTLE ST. JAMES' PARK
![](https://1.bp.blogspot.com/-TWgXLGhbbx4/XvQ_aB_xkYI/AAAAAAADddk/Ed0xIkKlOpkpQpKIvSceie3oERp12ZPLwCNcBGAsYHQ/s72-c/30016422-8456705-image-a-18_1593025427694.jpg)
Na Mwandshi Wetu, NEWCASTLEMSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana amecheza muda wote, Aston Villa ikitoa sare ya 1-1 na Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St. James' Park.
Wenyeji, Newcastle United walitangulia kwa bao la Dwight Gayle dakika ya 68 kabla ya Ahmed Elmohamady kuisawazishia Newcastle United dakika ya 83.
Kwa sare hiyo, Aston Villa inafikisha pointi 27 baada ya kucheza mechi 31, ingawa inabaki nafasi ya 19 mbele ya Norwich City...
CCM Blog