Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Okwi aituliza Yanga



NA VICTOR MKUMBO BAO pekee lililofungwa dakika ya 51 na  Emmanuel Okwi, limeiwezesha Simba kuibuka na ushindi wa bao 1-0, katika mchezo wa Ligi Kuu ulioikutanisha timu hiyo na Yanga. Okwi alipachika bao hilo kwa shuti kali la mbali baada ya kumchungulia Bartez aliyetoka nje ya lango na mpira huo kujaa moja kwa moja wavuni. Ushindi huo unaipa jeuri Simba ya kuendelea kuwatambia mahasimu wao ambao wamekuwa wakiibeza Simba baada ya kufanya  vibaya katika baadhi ya michezo yake ya ligi. Katika...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

OKWI ATUA YANGA SC

Emmanuel Okwi. Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Simba Emmanuel Okwi kutoka klabu ya SC Villa. Habari za uhakika ambazo mtandao huu imezipata ni kwamba Yanga wamelipa kiasi cha dola za Kimarekani 20,000 kama ada ya uhamisho na kumsainisha Okwi mkataba wa miaka miwili. Okwi anatarajia kuwasili nchini hivi karibu akitokea Uganda, ameiomba Yanga abaki nchini Uganda kumalizia...

 

11 years ago

GPL

Okwi asaini Yanga SC

Na Khatimu Naheka
USAJILI wa kishindo, Yanga imefanya kufuru kwa kufunga dirisha dogo la usajili kwa kumsajili kiungo mshambuliaji wa zamani wa Simba, Emmanuel Arnold Okwi na ataanza kuichezea klabu hiyo kwenye mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara.
Okwi, ambaye ni mchezaji wa timu ya taifa ya Uganda, The Cranes, amesaini kuichezea Yanga kwa miaka miwili na nusu na Shirikisho la Soka la Uganda (Fufa) limemuidhinisha rasmi kuwa...

 

11 years ago

GPL

Okwi ayeyuka Yanga SC

Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi. John Joseph na Sweetbert Lukonge
SAKATA la mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi kudaiwa kususia mazoezi, sasa limeendelea mbele zaidi ya ilivyoelezwa awali. Habari mpya ni kuwa Okwi, raia wa Uganda, amegoma kabisa hata kujiunga na wenzake walioweka kambi Bagamoyo na siyo kususia mazoezi pekee, kisa kikiwa ni kutaka kumaliziwa fedha zake za usajili ambazo inadaiwa bado anadai. Kutokana na...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga kumshtaki Okwi

Uongozi wa Yanga umedai kuwa utamshtaki kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), mshambuliaji wao, Emmanuel Okwi iwapo hatajisalimisha hadi ifikapo Agosti 4.

 

11 years ago

BBCSwahili

Usajili wa Okwi wazuiwa Yanga

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesimamisha usajili wa mshambuliaji Emmanuel Okwi kutoka Uganda

 

11 years ago

Tanzania Daima

Okwi apigwa ‘stop’ Yanga

WAKATI Yanga wakitarajiwa kutua nchini leo, imepata pigo baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kusimamisha usajili wa mshambuliaji Mganda, Emmanuel Okwi, hadi utakapopatikana ufafanuzi kutoka Shirikisho la Kimataifa (Fifa)....

 

11 years ago

Mwananchi

Okwi akacha kambi Yanga

Mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda, Emmanuel Okwi ameanza vituko Yanga baada ya kuondoka kikosini na kushindwa kuambatana na wenzake walioingia kambini jana Bagamoyo, Pwani.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Yanga yaapa kufa na Okwi

KLABU ya Yanga chini ya Mwenyekiti wake Yusuf Manji, imesema itakata rufaa Shirikisho la Sola la Kimataifa (FIFA), kupinga uamuzi wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho...

 

11 years ago

Mwananchi

Mzungu wa Yanga amlilia Okwi

>Wakati kikosi cha Yanga kikiingia kambini kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City Jumapili ya wiki hii, kocha Hans Van Pluijm amezidi kuumizwa kichwa kwa kumkosa mshambuliaji wake Emmanuel Okwi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani