Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yaapa kufa na Okwi

KLABU ya Yanga chini ya Mwenyekiti wake Yusuf Manji, imesema itakata rufaa Shirikisho la Sola la Kimataifa (FIFA), kupinga uamuzi wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Yanga yaapa kuia Platinum FC ya Zimbabwe

Serikali ya Tanzania imeipatia klabu ya Yanga ndege kwa kwenda Zimbabwe kucheza mechi ya marudiano dhidi ya wenyeji, Platinum FC.

 

11 years ago

GPL

OKWI ATUA YANGA SC

Emmanuel Okwi. Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Simba Emmanuel Okwi kutoka klabu ya SC Villa. Habari za uhakika ambazo mtandao huu imezipata ni kwamba Yanga wamelipa kiasi cha dola za Kimarekani 20,000 kama ada ya uhamisho na kumsainisha Okwi mkataba wa miaka miwili. Okwi anatarajia kuwasili nchini hivi karibu akitokea Uganda, ameiomba Yanga abaki nchini Uganda kumalizia...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga kumshtaki Okwi

Uongozi wa Yanga umedai kuwa utamshtaki kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), mshambuliaji wao, Emmanuel Okwi iwapo hatajisalimisha hadi ifikapo Agosti 4.

 

11 years ago

GPL

Okwi asaini Yanga SC

Na Khatimu Naheka
USAJILI wa kishindo, Yanga imefanya kufuru kwa kufunga dirisha dogo la usajili kwa kumsajili kiungo mshambuliaji wa zamani wa Simba, Emmanuel Arnold Okwi na ataanza kuichezea klabu hiyo kwenye mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara.
Okwi, ambaye ni mchezaji wa timu ya taifa ya Uganda, The Cranes, amesaini kuichezea Yanga kwa miaka miwili na nusu na Shirikisho la Soka la Uganda (Fufa) limemuidhinisha rasmi kuwa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Okwi aituliza Yanga



NA VICTOR MKUMBO BAO pekee lililofungwa dakika ya 51 na  Emmanuel Okwi, limeiwezesha Simba kuibuka na ushindi wa bao 1-0, katika mchezo wa Ligi Kuu ulioikutanisha timu hiyo na Yanga. Okwi alipachika bao hilo kwa shuti kali la mbali baada ya kumchungulia Bartez aliyetoka nje ya lango na mpira huo kujaa moja kwa moja wavuni. Ushindi huo unaipa jeuri Simba ya kuendelea kuwatambia mahasimu wao ambao wamekuwa wakiibeza Simba baada ya kufanya  vibaya katika baadhi ya michezo yake ya ligi. Katika...

 

11 years ago

GPL

Okwi ayeyuka Yanga SC

Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi. John Joseph na Sweetbert Lukonge
SAKATA la mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi kudaiwa kususia mazoezi, sasa limeendelea mbele zaidi ya ilivyoelezwa awali. Habari mpya ni kuwa Okwi, raia wa Uganda, amegoma kabisa hata kujiunga na wenzake walioweka kambi Bagamoyo na siyo kususia mazoezi pekee, kisa kikiwa ni kutaka kumaliziwa fedha zake za usajili ambazo inadaiwa bado anadai. Kutokana na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Okwi aitamani Yanga Kagame

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Uganda, Emmanuel Okwi, amesema hana tatizo na viongozi wa Yanga, hivyo amepanga kurejea na kujiunga na timu hiyo kabla ya kuanza kwa michuano ya Kombe la...

 

11 years ago

Mwananchi

Mafowadi Yanga wamhofu Okwi

>Baadhi ya wachezaji wa Yanga wamehofia kupoteza nafasi zao katika kikosi cha kwanza timu hiyo mara baada ya kusajiliwa kwa Emmanuel Okwi hivi karibuni.

 

10 years ago

GPL

Yanga yamfungulia kesi Okwi

Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Arnold Okwi. Na Saleh Ally
UNAWEZA kusema kumekucha baada ya Yanga kufikia uamuzi wa kumfungulia mashitaka mshambuliaji wake Emmanuel Arnold Okwi wakitaka afungiwe kucheza soka. Yanga imefikia uamuzi huo baada ya kuonekana kutoridhishwa na mwenendo wa Okwi raia wa Uganda ambaye hata hivyo ameishatua nchini akisubiri kujiunga na kikosi cha Yanga ambacho kipo kambini mjini Zanzibar. Barua ya Yanga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani