Yanga yamfungulia kesi Okwi
![](http://api.ning.com:80/files/jIhV2tSCZFXlM2qQ1CfGMysNniG0Yco3igrfNcZ1JNdmUU2VmMRwGEza2*ebiyf-LSUUGb0cB-mKdCLK*db4k7tXJv4xKzoV/okwi.jpg)
Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Arnold Okwi. Na Saleh Ally UNAWEZA kusema kumekucha baada ya Yanga kufikia uamuzi wa kumfungulia mashitaka mshambuliaji wake Emmanuel Arnold Okwi wakitaka afungiwe kucheza soka. Yanga imefikia uamuzi huo baada ya kuonekana kutoridhishwa na mwenendo wa Okwi raia wa Uganda ambaye hata hivyo ameishatua nchini akisubiri kujiunga na kikosi cha Yanga ambacho kipo kambini mjini Zanzibar. Barua ya Yanga...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ws8ZUKcMJII/U_9lIrjSr2I/AAAAAAABLxA/PuEl3wjc1g4/s72-c/IMG_2204.jpg)
OKWI AREJEA SIMBA SC KUCHEZA KWA MUDA KULINDA KIPAJI CHAKE WAKATI KESI YAKE NA YANGA IKIENDELEA
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAMSTAILI ile ile waliyotumia Yanga SC kumpata mshambuliaji Emmanuel Arnold Okwi ndiyo ambayo klabu yake ya zamani, Simba SC inaitumia kumrejesha kundini Mganda huyo.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jioni hii mjini Dar es Salaam, Okwi amesema kwamba amesaini Simba SC mkataba huru wa muda, baada ya Yanga SC kumpa barua ya kusitisha mkataba naye jana pamoja na kumshitaki Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Okwi amesema ameamua kuomba kuichezea Simba SC kipindi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bco3t9J7*tRhE5sA8VEOyfThJ3DECeNDfLlZsul6NOBaQbmspON93PvDbPCrTQzZlP0UYhBkGNbcNRMFzA6piqN0j*UZWaqh/o.jpg?width=650)
Okwi afungua kesi
10 years ago
Mwananchi24 Sep
Jaja afuta kesi ya Okwi Fifa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cPakA0chAExMKvaQ6pwiS1tMhMAk7m9pUCpz0YoXh*GvTfXOFp7noS6yjHF1tPwDgFt53L5Lp2NOBZWuFmYrpHg0drJ1H2z-/okwi.jpg?width=650)
Okwi ayeyuka Yanga SC
10 years ago
Uhuru Newspaper10 Mar
Okwi aituliza Yanga
NA VICTOR MKUMBO BAO pekee lililofungwa dakika ya 51 na Emmanuel Okwi, limeiwezesha Simba kuibuka na ushindi wa bao 1-0, katika mchezo wa Ligi Kuu ulioikutanisha timu hiyo na Yanga. Okwi alipachika bao hilo kwa shuti kali la mbali baada ya kumchungulia Bartez aliyetoka nje ya lango na mpira huo kujaa moja kwa moja wavuni. Ushindi huo unaipa jeuri Simba ya kuendelea kuwatambia mahasimu wao ambao wamekuwa wakiibeza Simba baada ya kufanya vibaya katika baadhi ya michezo yake ya ligi. Katika...
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Yanga kumshtaki Okwi
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KtF8hZpsH-35ea58qFejI*QhuCRY4Z8HRXpSVdgLXKuN3aLNLOA2aGk-fddAcdqc3y2VOZ3Qo-kZJVps6tJzWQHRVpvfmKY3/okwi.jpg?width=640)
OKWI ATUA YANGA SC
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KtF8hZpsH-2YiV16Uwlx-OTxx40PAq1FjGAtQhAaVxlQAc*hLTk2L0vuGWF1pYrRvSjQw3L7ceYBur27P-rCG5h8A2*w*Ksq/1Dar1copy.jpg?width=650)
Okwi asaini Yanga SC
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fF4HFdlaoO6XzY6wNen7hhH5xri0tx3-yb7JT17z5ZsjSk7Lz4bhxhNbEYvwDraTz3hNZ6FGmGgGb2JUKoZ*5ejuSiLKbawh/1dar.gif?width=650)
Yanga kumfilisi Emmanuel Okwi