Yanga kumfilisi Emmanuel Okwi
![](http://api.ning.com:80/files/fF4HFdlaoO6XzY6wNen7hhH5xri0tx3-yb7JT17z5ZsjSk7Lz4bhxhNbEYvwDraTz3hNZ6FGmGgGb2JUKoZ*5ejuSiLKbawh/1dar.gif?width=650)
Mshambuliaji wa Yanga Emmanuel Okwi (kushoto). Na Saphyna Mlawa PAMOJA na kuwa na taarifa kwamba Yanga imemalizana na mshambuliaji wake, Emmanuel Okwi, taarifa za uhakika zinaeleza kwamba mwafaka haujafikiwa asilimia mia na huenda Mganda huyo akafilisiwa na Yanga. Mwanasheria wa Okwi, Edgar Agaba, ambaye alifanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, alikumbana na wakati mgumu baada ya kiongozi huyo kusisitiza mambo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dUBGrCUuK8QfVcqYWZscLWc664Z8EMfNGYxwephok-4XW8zucINdyxl3i71vVWwJ3HImo3OVaHdXqhgyGKGp-rMAmO18fU69/OKWI.gif?width=650)
Siku za Emmanuel Okwi, zinahesabika Yanga SC
11 years ago
GPL11 years ago
GPLEMMANUEL OKWI ALIVYOTUA DAR KUJIUNGA NA YANGA LEO
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-oE1VgM-1ZGs/UvzUsCg4V3I/AAAAAAAFM8U/X2EdMRAbQmk/s72-c/unnamed+(19).jpg)
BREKING NYUUUZZZZZZ: Emmanuel Okwi ruksa kuchezea yanga - FIFA
![](http://4.bp.blogspot.com/-oE1VgM-1ZGs/UvzUsCg4V3I/AAAAAAAFM8U/X2EdMRAbQmk/s1600/unnamed+(19).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-8YwVf5QdBWU/VA4VlweaehI/AAAAAAAGiJc/tSQgL92LDkA/s72-c/download.jpg)
sakata la emmanuel Okwi kusajiliwa na simba: Yanga kukata rufaa fifa kupinga maamuzi ya tff
![](http://2.bp.blogspot.com/-8YwVf5QdBWU/VA4VlweaehI/AAAAAAAGiJc/tSQgL92LDkA/s1600/download.jpg)
Uongozi wa klabu ya Yanga umesema utapinga maamuzi ya kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji kuhusiana na maamuzi yake ya kumtangaza mchezaji wake, Emmanuel Okwi kuwa huru.Sam Mapande amesema kuwa hawajaridhishwa na maamuzi hayo ambayo yanakinzana na shitaka zima la mchezaji huyo. Mapande amesema kuwa kamati ya TFF imeamua sakata la Okwi kinyume na malalamiko yao kwani hakukuwa na lalamiko la...
10 years ago
CloudsFM17 Dec
EMMANUEL OKWI KUFUNGA NDOA ''SOON''
Mshambuliaji wa kimataifa wa timu ya taifa ya Uganda na klabu ya Simba ya jijini Dar,Emmanul Okwi anatarajia kufunga ndoa mwezi huu nchini humo. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe alisema kuwa Okwi amepewa ruhusa ya kushughulikia masuala yake na hasa hilo la ndoa.
“Anatarajia kufunga ndoa mwezi huu, nafikiri itakuwa tarehe ishirini, ndiyo maana tumempa ruhusa.
Taarifa za kutoka Kampala zinaeleza, Okwi anamuoa mpenzi wake wa siku nyingi na maandalizi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NvWHU5oq4TZfO9Plfw-*0RaEHxGWb5ow2csmdaYqoYJ1oQcFOkEh7EYC1E94kvCbQQax5OqeCIA79MR--sceopAJe4qTiByE/okwi.jpg?width=650)
Emmanuel Okwi, Kiiza wachomoka kambini usiku
10 years ago
Uhuru Newspaper10 Mar
Okwi aituliza Yanga
NA VICTOR MKUMBO BAO pekee lililofungwa dakika ya 51 na Emmanuel Okwi, limeiwezesha Simba kuibuka na ushindi wa bao 1-0, katika mchezo wa Ligi Kuu ulioikutanisha timu hiyo na Yanga. Okwi alipachika bao hilo kwa shuti kali la mbali baada ya kumchungulia Bartez aliyetoka nje ya lango na mpira huo kujaa moja kwa moja wavuni. Ushindi huo unaipa jeuri Simba ya kuendelea kuwatambia mahasimu wao ambao wamekuwa wakiibeza Simba baada ya kufanya vibaya katika baadhi ya michezo yake ya ligi. Katika...
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Yanga kumshtaki Okwi