Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Emmanuel Okwi, Kiiza wachomoka kambini usiku

Emmanuel Okwi. Na Musa Mateja, Tanga
VIUNGO washambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza na Emmanuel Okwi, juzi walijikuta wakiishiwa na uvumilivu na kuamua kuondoka kambini kwao kwa muda kisha kwenda nje ya kambi kuishuhudia mechi ya Ligi Kuu ya England. Hamis…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

TheCitizen

Okwi, Kiiza link up with Yanga

>Young Africans’ Ugandan forwards Emmanuel Okwi and Hamis Kiiza landed in Cairo yesterday where they linked up with teammates ahead of a decisive CAF Champions League match tomorrow.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaja awatishia Okwi, Kiiza

UJIO wa Mbrazil mwingine Geilson Santos Santana ‘Jaja’ katika kikosi cha timu ya Yanga, umewaweka katika mstari wa hatari Emmanuel Okwi na Hamis Kiiza, nyota wa kimataifa wa Uganda. Hiyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Loga awaita Kiiza, Okwi Simba

Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic amesema yuko tayari kumpokea mshambuliaji yeyote kutoka Yanga iwe Hamis Kiiza au Emmanuel  Okwi kwani anaamini wote wanakiwango cha juu.

 

11 years ago

GPL

Okwi, Kiiza wamfuata Maximo Dar

Mshambuliaji wa Yanga Emmanuel Okwi. Na Mwandishi Wetu
WASHAMBULIAJI Emmanuel Okwi na Hamis Kiiza, wote wanatarajiwa kutua nchini ndani ya siku chache zijazo kuanza kazi na kocha mpya, Marcio Maximo, imefahamika. Habari za uhakika kutoka ndani ya Yanga, zimeeleza uongozi wa klabu hiyo umeamua kuachana na suala la kuteua nani abaki kati ya Okwi au Kiiza, badala yake suala hilo ameachiwa Maximo.
“Kwa kuwa ameachiwa...

 

11 years ago

GPL

Cheki yamrudisha Okwi kambini Yanga SC

Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi. Na Sweetbert Lukonge
HATIMAYE mshambuliaji wa Yanga, Mganda Emmanuel Okwi amejiunga na wenzake baada ya kukamilishiwa madai yake aliyokuwa akiidai klabu hiyo. Hivi karibuni ilidaiwa kuwa Okwi aligoma kujiunga na kambi hiyo iliyopo Bagamoyo, Pwani kwa kuwa hajalipwa fedha zake zote za usajili ambazo alikuwa akiidai klabu hiyo, baada ya kutua klabuni hapo akitokea SC Villa ya… ...

 

10 years ago

CloudsFM

EMMANUEL OKWI KUFUNGA NDOA ''SOON''

Mshambuliaji wa kimataifa wa timu ya taifa ya Uganda na klabu ya Simba ya jijini Dar,Emmanul Okwi anatarajia kufunga ndoa mwezi huu nchini humo. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe alisema kuwa Okwi amepewa ruhusa ya kushughulikia masuala yake na hasa hilo la ndoa.
“Anatarajia kufunga ndoa mwezi huu, nafikiri itakuwa tarehe ishirini, ndiyo maana tumempa ruhusa.
Taarifa za kutoka Kampala zinaeleza, Okwi anamuoa mpenzi wake wa siku nyingi na maandalizi...

 

11 years ago

GPL

Yanga kumfilisi Emmanuel Okwi

Mshambuliaji wa Yanga Emmanuel Okwi (kushoto). Na Saphyna Mlawa
PAMOJA na kuwa na taarifa kwamba Yanga imemalizana na mshambuliaji wake, Emmanuel Okwi, taarifa za uhakika zinaeleza kwamba mwafaka haujafikiwa asilimia mia na huenda Mganda huyo akafilisiwa na Yanga. Mwanasheria wa Okwi, Edgar Agaba, ambaye alifanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, alikumbana na wakati mgumu baada ya kiongozi huyo kusisitiza mambo...

 

11 years ago

Mwananchi

Okwi, Kiiza wampasua kichwa kocha Maximo

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amesema mchezaji yeyote mwenye ubinafsi hana nafasi kwenye kikosi chake, huku akishindwa kujua yupi wa kumuacha kati ya wachezaji wawili wa kimataifa.

 

11 years ago

GPL

Siku za Emmanuel Okwi, zinahesabika Yanga SC

Mshambuliaji Emmanuel Okwi. Na Walusanga Ndaki
UNAWEZA ukadhani ni masihara, lakini uhusiano kati ya mshambuliaji Emmanuel Okwi na uongozi wa Yanga umebaki asilimia 20 tu. Yanga wanaonyesha kutoridhishwa na tabia za Okwi na viongozi waliokutana wanaona bora aende zake.
Habari za uhakika kutoka kwa rafiki wa Okwi zinaeleza Yanga imeishamdokeza kuwa inataka kuvunja mkataba. “Kweli hata Okwi anajua, kaniambia uongozi Yanga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani