Okwi, Kiiza wamfuata Maximo Dar
![](http://api.ning.com:80/files/lu8a2-fLGRniVnQN*rXSM4PkQddGo8807bBLmn8p7mzanHo8guNrqupCN5itTQDZEyjcFuZeTJWSWBs-*z8UmzkCAS3*iQPI/okwi.jpg)
Mshambuliaji wa Yanga Emmanuel Okwi. Na Mwandishi Wetu WASHAMBULIAJI Emmanuel Okwi na Hamis Kiiza, wote wanatarajiwa kutua nchini ndani ya siku chache zijazo kuanza kazi na kocha mpya, Marcio Maximo, imefahamika. Habari za uhakika kutoka ndani ya Yanga, zimeeleza uongozi wa klabu hiyo umeamua kuachana na suala la kuteua nani abaki kati ya Okwi au Kiiza, badala yake suala hilo ameachiwa Maximo. “Kwa kuwa ameachiwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Okwi, Kiiza wampasua kichwa kocha Maximo
11 years ago
TheCitizen08 Mar
Okwi, Kiiza link up with Yanga
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Jaja awatishia Okwi, Kiiza
UJIO wa Mbrazil mwingine Geilson Santos Santana ‘Jaja’ katika kikosi cha timu ya Yanga, umewaweka katika mstari wa hatari Emmanuel Okwi na Hamis Kiiza, nyota wa kimataifa wa Uganda. Hiyo...
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Loga awaita Kiiza, Okwi Simba
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NvWHU5oq4TZfO9Plfw-*0RaEHxGWb5ow2csmdaYqoYJ1oQcFOkEh7EYC1E94kvCbQQax5OqeCIA79MR--sceopAJe4qTiByE/okwi.jpg?width=650)
Emmanuel Okwi, Kiiza wachomoka kambini usiku
11 years ago
Mwananchi06 Mar
Kocha Al Ahly awahofia Kiiza, Ngasa, Kavumbagu, Okwi
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6A05RJELsOC9hl76Vo6tbT1*aEQkfTNsmZOAagUDsBQSIcl0uR3v0amJAjL*quNeFA4IiemjRhrhHJcKkvBQUcETzT-ihB5X/2.jpg?width=650)
Okwi, Kiiza watimka Yanga, uongozi wafanya maombi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yC7AOXGJlPVaQeT-BmUYyWOppPglguJBJLpYYzKWbHpxW6-IuuyFky5agocfPQVB5SStn*lJ0ELCahwDCJD*i4zvdqFKaKvj/maxi.jpg)
Maximo, Phiri waungana... kwa Jaja, Okwi