Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha Al Ahly awahofia Kiiza, Ngasa, Kavumbagu, Okwi

Kocha wa Mabingwa wa Soka Afrika, Al Ahly, Mohamed Youssef amesema kati ya wachezaji anaowatilia shaka na ana hofu nao katika mechi ya marudiano Jumapili itakayochezwa saa mbili kamili kwa saa za hapa nchini ni Mrisho Ngasa, Hamis Kiiza na Didier Kavumbagu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Okwi, Kiiza wampasua kichwa kocha Maximo

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amesema mchezaji yeyote mwenye ubinafsi hana nafasi kwenye kikosi chake, huku akishindwa kujua yupi wa kumuacha kati ya wachezaji wawili wa kimataifa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Taulo la Ivo lawaponza Ngasa, Kavumbagu

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imewaadhibu wachezaji wa Yanga, Mrisho Ngasa na Mrundi Didier Kavumbagu, kutokana na imani za kishirikisha katika mechi dhidi ya Simba iliyopigwa Uwanja wa Taifa...

 

10 years ago

Michuzi

PULJIM AWALILIA KASEJA, KIIZA, KAVUMBAGU; ATAKA WACHEZAJI KUJITAMBUA


KOCHA wa Yanga Hans Van Puljim (pichani chini kulia) amedai kusikikitshwa na mlinda mlango Juma Kaseja (juu kushoto) kuingia kwenye bifu na uongozi wa klabu hiyo wakati alimtegemea kuongoza wachezaji wenzake siku za nyuma akiinoa timu hiyo.


Puljim ambaye alichukua nafasi ya Ernie Brandts mwaka jana kabla ya  kutimuliwa mara baada ya mechi ya Mtani Jembe mwaka jana ambapo Yanga ilinyukwa mabao 3-1 alimtumia Kaseja kuwa nahodha katika kikosi chake lakini leo amesema anasikia uchungu kumkosa...

 

11 years ago

GPL

Mashushushu Al Ahly wawapeleka Ngassa, Kiiza Cairo

Kutoka kulia Hamisi Kiiza na Mrisho Ngassa katikati. Na Mwandishi Wetu
PAMOJA na juhudi za uongozi wa Yanga kupambana na mashushushu wa Al Ahly wasifanye kazi yao, lakini imeshindikana kwani wamefanikiwa kutuma majina ya Mrisho Ngassa na Hamisi Kiiza. Machi Mosi, Yanga ina asilimia 80 kuwa itavaana na Al Ahly ya Misri kwa kuwa imeshinda mechi yake ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Komorozine ya Comoro kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ngasa amkera kocha Stars

WAKATI msafara wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars ukitarajiwa kurejea nchini kesho ukitokea kambini nchini Botswana, kuna habari kuwa Kocha Mart Nooij, amemtema mshambuliaji Mrisho Ngasa kwa utovu...

 

11 years ago

TheCitizen

Okwi, Kiiza link up with Yanga

>Young Africans’ Ugandan forwards Emmanuel Okwi and Hamis Kiiza landed in Cairo yesterday where they linked up with teammates ahead of a decisive CAF Champions League match tomorrow.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaja awatishia Okwi, Kiiza

UJIO wa Mbrazil mwingine Geilson Santos Santana ‘Jaja’ katika kikosi cha timu ya Yanga, umewaweka katika mstari wa hatari Emmanuel Okwi na Hamis Kiiza, nyota wa kimataifa wa Uganda. Hiyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Loga awaita Kiiza, Okwi Simba

Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic amesema yuko tayari kumpokea mshambuliaji yeyote kutoka Yanga iwe Hamis Kiiza au Emmanuel  Okwi kwani anaamini wote wanakiwango cha juu.

 

11 years ago

GPL

Okwi, Kiiza wamfuata Maximo Dar

Mshambuliaji wa Yanga Emmanuel Okwi. Na Mwandishi Wetu
WASHAMBULIAJI Emmanuel Okwi na Hamis Kiiza, wote wanatarajiwa kutua nchini ndani ya siku chache zijazo kuanza kazi na kocha mpya, Marcio Maximo, imefahamika. Habari za uhakika kutoka ndani ya Yanga, zimeeleza uongozi wa klabu hiyo umeamua kuachana na suala la kuteua nani abaki kati ya Okwi au Kiiza, badala yake suala hilo ameachiwa Maximo.
“Kwa kuwa ameachiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani