Loga awaita Kiiza, Okwi Simba
Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic amesema yuko tayari kumpokea mshambuliaji yeyote kutoka Yanga iwe Hamis Kiiza au Emmanuel Okwi kwani anaamini wote wanakiwango cha juu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Jaja awatishia Okwi, Kiiza
UJIO wa Mbrazil mwingine Geilson Santos Santana ‘Jaja’ katika kikosi cha timu ya Yanga, umewaweka katika mstari wa hatari Emmanuel Okwi na Hamis Kiiza, nyota wa kimataifa wa Uganda. Hiyo...
11 years ago
TheCitizen08 Mar
Okwi, Kiiza link up with Yanga
>Young Africans’ Ugandan forwards Emmanuel Okwi and Hamis Kiiza landed in Cairo yesterday where they linked up with teammates ahead of a decisive CAF Champions League match tomorrow.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lu8a2-fLGRniVnQN*rXSM4PkQddGo8807bBLmn8p7mzanHo8guNrqupCN5itTQDZEyjcFuZeTJWSWBs-*z8UmzkCAS3*iQPI/okwi.jpg)
Okwi, Kiiza wamfuata Maximo Dar
Mshambuliaji wa Yanga Emmanuel Okwi. Na Mwandishi Wetu
WASHAMBULIAJI Emmanuel Okwi na Hamis Kiiza, wote wanatarajiwa kutua nchini ndani ya siku chache zijazo kuanza kazi na kocha mpya, Marcio Maximo, imefahamika. Habari za uhakika kutoka ndani ya Yanga, zimeeleza uongozi wa klabu hiyo umeamua kuachana na suala la kuteua nani abaki kati ya Okwi au Kiiza, badala yake suala hilo ameachiwa Maximo.
“Kwa kuwa ameachiwa...
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Okwi, Kiiza wampasua kichwa kocha Maximo
Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amesema mchezaji yeyote mwenye ubinafsi hana nafasi kwenye kikosi chake, huku akishindwa kujua yupi wa kumuacha kati ya wachezaji wawili wa kimataifa.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NvWHU5oq4TZfO9Plfw-*0RaEHxGWb5ow2csmdaYqoYJ1oQcFOkEh7EYC1E94kvCbQQax5OqeCIA79MR--sceopAJe4qTiByE/okwi.jpg?width=650)
Emmanuel Okwi, Kiiza wachomoka kambini usiku
Emmanuel Okwi. Na Musa Mateja, Tanga
VIUNGO washambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza na Emmanuel Okwi, juzi walijikuta wakiishiwa na uvumilivu na kuamua kuondoka kambini kwao kwa muda kisha kwenda nje ya kambi kuishuhudia mechi ya Ligi Kuu ya England. Hamis…
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/A8I8pebmYzpUEOvyZOHRCrAX30rQGpNUgAOCl1DxXmYoUBNcK5Rk-muiwfxGKQFEWMbkqQEhoMwuhJyVp46JIRcExuqTiA4O/kochawasimba.gif?width=640)
Loga: Dawa ya Okwi ipo wala msihofu
Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Khatimu Naheka
KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic amewashusha presha mashabiki wa timu hiyo kuhusu makali ya mshambuliaji Emmanuel Okwi ambaye ametua Yanga kwa kusema kuwa dawa yake ipo. Akizungumza na Championi Ijumaa, Logarusic ‘Loga’, amesema anatambua kuwa Okwi raia wa Uganda ni mmoja wa washambuliaji bora katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, lakini kamwe...
11 years ago
Mwananchi06 Mar
Kocha Al Ahly awahofia Kiiza, Ngasa, Kavumbagu, Okwi
Kocha wa Mabingwa wa Soka Afrika, Al Ahly, Mohamed Youssef amesema kati ya wachezaji anaowatilia shaka na ana hofu nao katika mechi ya marudiano Jumapili itakayochezwa saa mbili kamili kwa saa za hapa nchini ni Mrisho Ngasa, Hamis Kiiza na Didier Kavumbagu.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6A05RJELsOC9hl76Vo6tbT1*aEQkfTNsmZOAagUDsBQSIcl0uR3v0amJAjL*quNeFA4IiemjRhrhHJcKkvBQUcETzT-ihB5X/2.jpg?width=650)
Okwi, Kiiza watimka Yanga, uongozi wafanya maombi
Washambuliaji wa Yanga Hamis Kiiza 'Diego' na Emmanuel Okwi(kushoto). Na Sweetbert Lukonge
WACHEZAJI wawili wa Yanga, Hamis Kiiza na Emmanuel Okwi, wameondoka kwenye kikosi hicho na kujiunga na timu yao ya taifa. Uganda inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Andora leo ambapo awali Yanga iliomba wachezaji wake hao wasijiunge na timu hiyo ili wajiandae kuivaa Al Ahly lakini shirikisho la Soka Uganda (Fufa) likagoma....
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HwqJujqzkWgSqO7ypDtxRUvsKW-BTbKHPVUO1B0U9rp*j6j1AMFAD8uGBif9wtd07*4Uccs0wzvfbZwPOBbt*VrnmcJTmG7U/beki.jpg)
Beki awaita Simba Nigeria
Beki wa zamani wa Simba, Komambil Keita. Na Mwandishi Wetu
BEKI wa zamani wa Simba, Komambil Keita, amewaita viongozi wa klabu hiyo nchini Nigeria wakafanye mazungumzo. Keita, raia wa Mali, anakipiga nchini Nigeria katika klabu ya Highland FC na ametamba kuwa yuko katika kiwango cha juu kabisa.Akizungumza na Championi Jumatano kutoka Nigeria, Keita amesema amepata taarifa za Simba kuwa na matatizo katika safu ya ulinzi....
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania