Okwi afungua kesi

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi. Na Mwandishi Wetu SIKU moja baada ya uongozi wa Simba kutangaza kuachana na kipa Juma Kaseja, sasa unalazimika kupambana na kesi mpya dhidi ya kiungo mshambuliaji Emmanuel Okwi. Kupitia mwanasheria wake, Kampuni ya Agaba Muhairwe & Co Advocates ya Kampala, Uganda. Okwi amefungua kesi akitaka Yanga imlipe kitita cha jumla ya dola 62,000 (zaidi ya Sh milioni 107). Mgawanyo wa madai...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
Yanga yamfungulia kesi Okwi
11 years ago
Mwananchi24 Sep
Jaja afuta kesi ya Okwi Fifa
9 years ago
Dewji Blog05 Nov
Mwakalebela afungua kesi ya kupinga matokeo
Kaimu Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Elisha Mwampashi akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana. (Picha na Friday Simbaya)
ALIYEKUWA mgombea ubunge Jimbo la Iringa Mjini, Frederick Mwakalebela, kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), amefungua kesi mahakamani ya kupinga matokeo yaliompa ushindi, Mchungaji Peter Msigwa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Kesi hiyo ya uchaguzi iliyofunguliwa kwa No. 5 ya mwaka 2015 imefunguliwa katika mahakama kuu kanda ya Iringa...
11 years ago
Michuzi
OKWI AREJEA SIMBA SC KUCHEZA KWA MUDA KULINDA KIPAJI CHAKE WAKATI KESI YAKE NA YANGA IKIENDELEA
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAMSTAILI ile ile waliyotumia Yanga SC kumpata mshambuliaji Emmanuel Arnold Okwi ndiyo ambayo klabu yake ya zamani, Simba SC inaitumia kumrejesha kundini Mganda huyo.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jioni hii mjini Dar es Salaam, Okwi amesema kwamba amesaini Simba SC mkataba huru wa muda, baada ya Yanga SC kumpa barua ya kusitisha mkataba naye jana pamoja na kumshitaki Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Okwi amesema ameamua kuomba kuichezea Simba SC kipindi...
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Kisena afungua kesi nyingine dhidi ya Msama
MMILIKI wa Kampuni ya Usafiri ya UDA, Robert Kisena, amefungua kesi nyingine Mahakama Kuu dhidi ya mfanyabiashara, Alex Msama na wenzake watatu kuhusu mgogoro wa kiwanja kilichopo eneo la Mbagala...
9 years ago
Mtanzania18 Nov
Kafulila afungua kesi Mahakama Kuu Tabora
Na Murugwa Thomas, Tabora
ALIYEKUWA mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini, David Kafulila kupitia Chama cha NCCR – Mageuzi, amefungua kesi Mahakam Kuu Kanda ya Tabora kupinga ushindi wa Hasna Mwillima wa Chama Cha Mapindunzi (CCM), aliyetangazwa mshindi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.
Kafulila amewasilisha pingamizi hilo jana kupitia kwa wakili wake, Daniel Lumenyela, huku akiwa ameambatanisha nakala za fomu za matokeo ya kura ya vituo vyote 382 vya jimbo hilo ambazo...
9 years ago
MichuziMTEMVU AFUNGUA KESI YA KUPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI JIMBO LA TEMEKE
10 years ago
Vijimambo
JAMES RUGEMALIRA AIGEUZIA KIBAO SERIKALI AFUNGUA KESI MAHAKAMA KUU KUIDAI SH.BILIONI 398 ZA ESCROW ACCOUNT

Mmiliki wa VIP Engineering, aliyekuwa anamiliki hisa IPTL Ndugu Rugemalira amefungua kesi mahakama kuu akiidai serikali jumla ya Sh. 398 bilion zilizokuwemo/ zinazotakiwa kuwemo katika Escrow Account ya Tegete na zilizolipwa kwa kampuni ya PAP na kuleta mjafala mkubwa bungeni.
Katika madai yake, mwenye hisa hatambui malipo yote yaliyolipwa na serikali kwa kampuni ya PAP kwani kampuni hiyo haikuwa na nyaraka halali kutoka kwa msajili wa makampuni BRELA, Taxe Clearance...
9 years ago
StarTV29 Dec
 Mahakama Kuu yamfutia kesi Dk. Mwakyembe kuhusu Kesi Za Kupinga Matokeo
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeitupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kwenye uchaguzi mkuu uliopita, Abraham Mwanyamaki, dhidi ya Mbunge wa Kyela na Waziri wa Katiba na Sheria, Dokta Harrison Mwakyembe.
Mahakama imefikia hatua hiyo baada ya Mwanyamaki kushindwa kulipa ada ya gharama za uendeshaji wa kesi hiyo shilingi Milioni Tatu katika muda wa Siku 14 uliowekwa kisheria.
Baada ya uchaguzi mkuu...