Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kisena afungua kesi nyingine dhidi ya Msama

MMILIKI wa Kampuni ya Usafiri ya UDA, Robert Kisena, amefungua kesi nyingine Mahakama Kuu dhidi ya mfanyabiashara, Alex Msama na wenzake watatu kuhusu mgogoro wa kiwanja kilichopo eneo la Mbagala...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji kesi ya Msama, Kisena awaka

JAJI wa Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi, Robert Mziray, amekuja juu kulalamikia taarifa za uamuzi alioutoa katika kesi ya mmiliki wa Kampuni ya UDA, Robert Kisena, mfanyabiashara, Alex Msama na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Majaji wakorogana kesi ya Kisena, Msama

JAJI wa Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi, Robert Mziray, anayesikiliza kesi ya mzozo wa ardhi kati ya mmiliki wa Kampuni ya UDA, Robert Kisena na mfanyabiashara, Alex Msama, amedaiwa kutoa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji kesi ya Kisena, Msama abanwa

SIKU chache baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema kusema sio sahihi kwa Jaji wa Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi kupingana na Jaji mwenzake wa Mahakama Kuu kwa kuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msama kuwalipua vigogo nyuma ya Kisena

MZOZO wa kiwanja eneo la Kokoto-Mbagala, unaomhusisha mfanyabiashara mmiliki wa Kampuni ya UDA, Robert Kisena na Alex Msama, umeingia katika hatua mpya baada ya Msama kuahidi kuwaanika vigogo aliodai wako...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jeuri ya Kisena dhidi ya mahakama inatoka wapi?

MSOMI wa sheria aliyepata kuwa jaji wa Mahakama Kuu nchini, marehemu Kahwa Lugakingira, katika moja ya kauli zake alipata kusema kuwa “mahakama ni kisima cha haki na kila mwenye kiu...

 

10 years ago

Michuzi

MSAMA AKABIDHI MILIONI MBILI KWA AJILI YA KUSIDIA MAPAMBANO DHIDI YA MAUAJI YA ALBINO

 Mwenyekiti wa Tamasha la Pasaka, Alex Msama akimkabidhi fedha taslimu kiasi cha shilingi milioni moja Mjumbe wa Kamati Kuu Taifa ya Chama cha Albino Tanzania, Mohamed Chanzi kwa ajili kuunga mkono kampeni ya kupinga mauaji ya albino. Kushoto ni Mweka Hazina wa Chama hicho, Abdilah Omari na wa pili kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha la Pasaka, Hudson Kamoga. Mbali na fedha hizo Msama alikabidhi hundi ya sh. milioni moja. (Picha na Francis Dande) Msama akikabidhi hundi ya sh....

 

10 years ago

GPL

PAPAA MSOFFE AFUTIWA KESI YA MAUAJI, AFUNGULIWA NYINGINE YA KUGHUSHI NYARAKA

Papaa Msofe akiwa mahakamani. (Picha kutoka maktaba yetu) MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemfutia kesi ya mauji iliyokuwa ikimkabili mfanyabishara maarufu nchini, Marijan Abubakar, maarufu kama 'Papaa Msofe' baada ya kupokea taarifa kutoka kwa MKurugenzi wa Mashitaka (DPP), Biswalo Mganga leo kuwa hana nia ya kuendelea kumshitaki tena. Kwa mujibu wa Kifungu cha 91(1) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya...

 

5 years ago

Michuzi

Pesa kidijitali: Njia nyingine kusaidia mapambano dhidi ya maambukizi ya coronavirus

Toka kuingia kwa virusi vya coronavirus nchini njia mbalimbali zimechukuliwa na zinaendelea kuchukuliwa kuzuia kasi ya maambukizi.Taasisi za elimu zimefungwa, hoteli mbalimbali, mikusanyiko imezuiwa na kupungua kwa mfano Mapinduzi Day, na njia nyingi za kuelimisha umma zinafanyika kuhakikisha tunabaki salama. 
Juhudi pia zinafanyika kuhamasisha kuhusu matumizi ya fedha kijitali (kulipa, kutuma na kupokea pesa kwa njia ya simu). Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO),  njia hii ya kutuma,...

 

10 years ago

GPL

Okwi afungua kesi

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi. Na Mwandishi Wetu
SIKU moja baada ya uongozi wa Simba kutangaza kuachana na kipa Juma Kaseja, sasa unalazimika kupambana na kesi mpya dhidi ya kiungo mshambuliaji Emmanuel Okwi. Kupitia mwanasheria wake, Kampuni ya Agaba Muhairwe & Co Advocates ya Kampala, Uganda. Okwi amefungua kesi akitaka Yanga imlipe kitita cha jumla ya dola 62,000 (zaidi ya Sh milioni 107).
Mgawanyo wa madai...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani