Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jeuri ya Kisena dhidi ya mahakama inatoka wapi?

MSOMI wa sheria aliyepata kuwa jaji wa Mahakama Kuu nchini, marehemu Kahwa Lugakingira, katika moja ya kauli zake alipata kusema kuwa “mahakama ni kisima cha haki na kila mwenye kiu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Jeuri hii inatoka wapi?

UPO usemi unaotumika sana kwa baadhi ya watumishi, hasa wa halmashauri za wilaya usemao: “Mtumishi anayechunga mali za wananchi yeye ni mjinga, ila yule anayezifuja na kujineemesha, yeye ni mwerevu.”...

 

11 years ago

Mwananchi

Hofu hii ya mkwamo inatoka wapi?

Waswahili wanasema kuwa ‘nyimbo mbaya hachombezewi mtoto,’ maneno haya yana maana kubwa hasa katika malezi na makuzi, yawe ya mtoto au hata ya taifa.

 

10 years ago

Mwananchi

Kuliimarisha Taifa ni jukumu letu sote, hofu hii inatoka wapi?

Wananchi wanazungumza, huu ni wakati wa kusikiliza na kutenda na si kupinga Kwanza nikiri kwamba mimi ni mtu mdogo sana, kwa rika, kwa maarifa, kwa uzoefu na ujuvi wa mambo, siko huko.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mahakama yamuonya Robert Kisena

MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Ardhi imemwonya mmiliki wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena, aache kuvunja amri ya Mahakama kwa kuendelea na ujenzi katika eneo la Kokoto...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kisena aangukia pua Mahakama Kuu

MAHAKAMA Kuu imetupilia mbali kesi mpya iliyofunguliwa na mmiliki wa Kampuni ya usafirishaji ya UDA, Robert Kisena dhidi ya mfanyabiashara Alex Msama na wenzake watatu kuhusu mgogoro wa kiwanja kilichopo...

 

9 years ago

GPL

KAJALA ANAPATA WAPI JEURI HII?

Imelda mtema FEDHA inaongea! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mwigizaji Kajala Masanja kupanga kwenye mjengo mpya wa maana na kuushehenesha samani na ‘vikorombwezo’ kibao hadi kufikia hatua ya watu kuhoji, amepata wapi jeuri hiyo ya fedha? Ijumaa limenasa mchapo kamili. Mjengo anaoishi mwigizaji Kajala Masanja. Kajala ambaye awali alikuwa akiishi maeneo ya Sinza-Madukani, kwa sasa amehamia katika mjengo huo mpya uliopo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kisena afungua kesi nyingine dhidi ya Msama

MMILIKI wa Kampuni ya Usafiri ya UDA, Robert Kisena, amefungua kesi nyingine Mahakama Kuu dhidi ya mfanyabiashara, Alex Msama na wenzake watatu kuhusu mgogoro wa kiwanja kilichopo eneo la Mbagala...

 

11 years ago

Mwananchi

Jeuri yaiponza Yanga kwa mahakama

Sakata la Yanga na wachezaji wake Stephen Malashi na  Wisdom Ndlovu, limechukua sura mpya baada ya kubainika viongozi

 

10 years ago

StarTV

Mahakama yabatilisha uamuzi dhidi ya Mubarak

Mahakama nchini misri imebatilisha uamuzi wake kuhusiana na tuhuma za uproraji wa mali ya umma zilizokuwa zinamkabili aliyekuwa Rais wa wa nchi hio, Hosni Mubarak, na wanawe wawili.

Mahakama hio sasa inasema kesi hio itaanza kusikilizwa upya. Mahakama imemeelezea kuwa imegundua mikakati ya kisheria haikufuatwa.

Uamuzi huo una maana kwamba Mubarak ataondolewa katika hospitali ya kijeshi ambako anazuiliwa kwa mujibu wa wakili wake. Hio ndio kesi iliyoyokuwa imesalia mahakamani dhidi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani