Mahakama yamuonya Robert Kisena
MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Ardhi imemwonya mmiliki wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena, aache kuvunja amri ya Mahakama kwa kuendelea na ujenzi katika eneo la Kokoto...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Kisena aangukia pua Mahakama Kuu
MAHAKAMA Kuu imetupilia mbali kesi mpya iliyofunguliwa na mmiliki wa Kampuni ya usafirishaji ya UDA, Robert Kisena dhidi ya mfanyabiashara Alex Msama na wenzake watatu kuhusu mgogoro wa kiwanja kilichopo...
10 years ago
Habarileo06 Mar
Mahakama yamuonya Mwenyekiti Jumuiya ya Wafanyabiashara
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wafanyabishara nchini, Johnson Minja (34) ametakiwa kuwaambia wafanyabiashara nchini kuacha kufunga maduka yao na kwenda kusikiliza kesi yake kila inapotajwa.
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
Jeuri ya Kisena dhidi ya mahakama inatoka wapi?
MSOMI wa sheria aliyepata kuwa jaji wa Mahakama Kuu nchini, marehemu Kahwa Lugakingira, katika moja ya kauli zake alipata kusema kuwa “mahakama ni kisima cha haki na kila mwenye kiu...
9 years ago
Habarileo19 Oct
Kamati yamuonya Duni
KAMATI ya Maadili ya Kitaifa imetoa onyo kali kwa mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Juma Duni Haji, kwa kutoa taarifa zisizo sahihi kwa umma, akidai kwamba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeongeza vituo hewa vya kupigia kura.
11 years ago
BBCSwahili17 Feb
Marekani yamuonya Museveni
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Ni kwanini serikali inamwogopa Kisena?
BOB Kisena amepata umaarufu kutokana na kashfa zenye utata na za hovyo. Moja ya sababu zilizofanya awe maarufu ni ile hali ya kujipatia lililokuwa Shirika la Usafiri Dar es Salaam...
11 years ago
Habarileo26 Jan
UVCCM yamuonya Profesa Lipumba
JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) imemuonya Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba kuacha kuingilia uamuzi wa kikatiba unaofikiwa na chama hicho.
9 years ago
Habarileo09 Sep
NEC sasa yamuonya Lowassa
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kitendo kilichofanywa na mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa cha kuomba kura kwa kuwataka waumini wa madhehebu ya Kilutheri kumchagua yeye, kamwe hakikubaliki.
10 years ago
Habarileo25 Mar
CCM yamuonya tena Lowassa
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema vitendo vinavyofanywa na Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa ni ukiukwaji wa Katiba na kanuni za chama hicho.