Marekani yamuonya Museveni
Rais Obama amesema uhusiano kati ya Uganda na Marekani utatatizika ikiwa rais Museveni atasaini sheria inayopinga ushoga Uganda.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi26 Feb
Uamuzi wa Museveni waitia kiwewe Marekani
9 years ago
Habarileo19 Oct
Kamati yamuonya Duni
KAMATI ya Maadili ya Kitaifa imetoa onyo kali kwa mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Juma Duni Haji, kwa kutoa taarifa zisizo sahihi kwa umma, akidai kwamba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeongeza vituo hewa vya kupigia kura.
10 years ago
Habarileo25 Mar
CCM yamuonya tena Lowassa
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema vitendo vinavyofanywa na Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa ni ukiukwaji wa Katiba na kanuni za chama hicho.
11 years ago
Habarileo26 Jan
UVCCM yamuonya Profesa Lipumba
JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) imemuonya Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba kuacha kuingilia uamuzi wa kikatiba unaofikiwa na chama hicho.
9 years ago
Habarileo09 Sep
NEC sasa yamuonya Lowassa
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kitendo kilichofanywa na mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa cha kuomba kura kwa kuwataka waumini wa madhehebu ya Kilutheri kumchagua yeye, kamwe hakikubaliki.
11 years ago
Tanzania Daima06 Feb
Mahakama yamuonya Robert Kisena
MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Ardhi imemwonya mmiliki wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena, aache kuvunja amri ya Mahakama kwa kuendelea na ujenzi katika eneo la Kokoto...
10 years ago
Habarileo06 Mar
Mahakama yamuonya Mwenyekiti Jumuiya ya Wafanyabiashara
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wafanyabishara nchini, Johnson Minja (34) ametakiwa kuwaambia wafanyabiashara nchini kuacha kufunga maduka yao na kwenda kusikiliza kesi yake kila inapotajwa.
9 years ago
BBCSwahili27 Nov
Uturuki yamuonya Putin ''kutocheza na moto''
5 years ago
BBCSwahili27 May
Twitter yamuonya rais Donald Trump dhidi ya kuchapisha ujumbe wa 'uongo'