Uturuki yamuonya Putin ''kutocheza na moto''
Rais Recep Tayyip Erdogan amemuonya mwenzake wa Urusi Vladimir Putin 'kutocheza na moto' kuhusu swala la taifa lake kuidungua ndege ya Urusi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili04 Feb
NATO yamwonya Karzai 'kutocheza na moto'
Shirika la kujihami la NATO limekasirishwa na hatua ya Karszai kukataa kutia saini mkataba ushirikiano wa kijeshi na Marekani.
9 years ago
BBCSwahili03 Dec
Putin:Uturuki itajuta kuidungua ndege yetu
Vladimir Putin ameitahadharisha Uturuki kuwa itajuta kwa kuidungua ndege ya Urusi aina ya Su-24 katika anga ya Syria.
9 years ago
BBCSwahili18 Dec
Putin atumia lugha chafu kushutumu Uturuki
Rais wa Urusi Vladimir Putin ametumia lugha chafu akishambulia tena Uturuki kwa kuidungua ndege ya kivita ya Urusi mwezi uliopita.
5 years ago
BBCSwahili25 Jun
Vladimir Putin: Kura itakayomuwezesha Putin kuwa madarakani miaka 36
Kwa miaka 20 Vladimir Putin amekuwa Rais au Waziri mkuu wa Urusi, lakini je ataendelea kuwa madarakani au la?
10 years ago
BBCSwahili07 Mar
FA:Cisse na Evans kutocheza mechi 7
Shirikisho la Soka nchini Uingereza FA limewapiga marufuku ya mechi 7 wachezaji Jonny Evans wa Manchester United na Papiss Cisse
9 years ago
BBCSwahili20 Nov
Martial na Rooney kutocheza wikendi
Van Gaal amesema kuwa Anthony Martial na Wayne Rooney ni miongoni mwa wachezaji 5 ambao hawatashirii katika mechi ya timu hiyo dhidi ya Watford siku ya jumamosi.
5 years ago
MichuziRC MAKONDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI PAMOJA NA JOPO LA WAWEKEZAJI KUTOKA NCHINI UTURUKI.
************************************Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo February 18 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Ali Davulaglu, Balozi wa Tanzania Nchini Uturuki Prof.Elizabeth Kiondo, Mstahiki Meya kutoka Uturuki, Wawekezaji na Wafanyabiashara zaidi ya 40 kutoka Nchini Uturuki waliokuja Kutazama na kuchangamkia fursa za Uwekezaji wa Viwanda jijini Dar es salaam.Katika Mazungumzo hayo RC Makonda ...
11 years ago
BBCSwahili17 Feb
Marekani yamuonya Museveni
Rais Obama amesema uhusiano kati ya Uganda na Marekani utatatizika ikiwa rais Museveni atasaini sheria inayopinga ushoga Uganda.
9 years ago
Habarileo19 Oct
Kamati yamuonya Duni
KAMATI ya Maadili ya Kitaifa imetoa onyo kali kwa mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Juma Duni Haji, kwa kutoa taarifa zisizo sahihi kwa umma, akidai kwamba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeongeza vituo hewa vya kupigia kura.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania