Putin:Uturuki itajuta kuidungua ndege yetu
Vladimir Putin ameitahadharisha Uturuki kuwa itajuta kwa kuidungua ndege ya Urusi aina ya Su-24 katika anga ya Syria.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili28 Nov
Uturuki yajuta kuidungua ndege ya Urusi
Rais wa Uturuki ameonyesha kujuta kwamba Uturuki iliidungua ndege ya kijeshi ya Urusi karibu na mpaka wa taifa hilo na Syria,lakini hakuomba msamaha kwa tukio hilo.
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Vita vya Syria: Serikali ya Syria itajuta kwa kuwashambulia wanajeshi wa Uturuki
Onyo hilo la rais Erdogan linajiri baada ya wanajeshi wa Uturuki kuuawa na vikosi vya Syria mjini Idlib
9 years ago
BBCSwahili27 Nov
Uturuki yamuonya Putin ''kutocheza na moto''
Rais Recep Tayyip Erdogan amemuonya mwenzake wa Urusi Vladimir Putin 'kutocheza na moto' kuhusu swala la taifa lake kuidungua ndege ya Urusi.
9 years ago
BBCSwahili18 Dec
Putin atumia lugha chafu kushutumu Uturuki
Rais wa Urusi Vladimir Putin ametumia lugha chafu akishambulia tena Uturuki kwa kuidungua ndege ya kivita ya Urusi mwezi uliopita.
10 years ago
BBCSwahili25 Dec
Marekani:IS haikuangusha ndege yetu
Marekani inasema kuwa ushahidi uliopo unaonyesha kuwa si kweli kwamba wapiganaji wa IS waliangusha ndege ya muungano huo
9 years ago
BBCSwahili05 Oct
Uturuki yasema ilizuia ndege ya Urusi
Uturuki imesema ilitumia ndege za kijeshi aina ya F-16 kuzuia ndege ya kijeshi ya Urusi kupaa anga yake bila idhini Jumamosi.
10 years ago
BBCSwahili10 Oct
Uturuki kuzuia ndege kutumia anga lake
Waziri wa masuala ya kigeni wa Uturuki Mevlut Cavusoglu amesema hawategemei kuongoza mashambulizi ya ardhini dhidi ya IS
10 years ago
BBCSwahili06 Jan
Shirika la ndege la Uturuki lafunga virago Libya
Shirika la la ndege la Uturuki ambalo ndilo liliokuwa peke yake likiendesha shughuli zake nchini Libya, limesimamisha safari zake zote kuingia nchini humo kutokana na hali mbaya ya usalama.
9 years ago
BBCSwahili24 Nov
Uturuki yadungua ndege mpaka wake na Syria
Ndege za kijeshi za Uturuki zinaripotiwa kudungua ndege ya kijeshi isiyojulikana karibu na mpaka wake na Syria.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania