Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahakama yabatilisha uamuzi dhidi ya Mubarak

Mahakama nchini misri imebatilisha uamuzi wake kuhusiana na tuhuma za uproraji wa mali ya umma zilizokuwa zinamkabili aliyekuwa Rais wa wa nchi hio, Hosni Mubarak, na wanawe wawili.

Mahakama hio sasa inasema kesi hio itaanza kusikilizwa upya. Mahakama imemeelezea kuwa imegundua mikakati ya kisheria haikufuatwa.

Uamuzi huo una maana kwamba Mubarak ataondolewa katika hospitali ya kijeshi ambako anazuiliwa kwa mujibu wa wakili wake. Hio ndio kesi iliyoyokuwa imesalia mahakamani dhidi...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Korti yabatilisha uamuzi dhidi ya Mubarak

Mahakama nchini misri imebatilisha uamuzi wake kuhusiana na tuhuma za uporaji wa mali ya umma zilizokuwa zinamkabili aliyekuwa Rais wa wa nchi hio, Hosni Mubarak, na wanawe wawili.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mahakama Kisutu kutoa uamuzi dhidi ya Macha

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu kesho inatarajia kutoa uamuzi juu ya mfanyabiashara maarufu jijini Dar es Salaam, Hans Macha iwapo ana kesi ya kujibu au la. Macha anakabiliwa na mashitaka...

 

5 years ago

CHADEMA Blog

Mahakama ya Rufaa kutoa uamuzi rufaa ya Jamhuri dhidi ya Mbowe na Matiko

Mahakama ya Rufani leo imeketi kusikiliza hoja za wakata rufaa (Jamhuri) na wakatiwa rufaa (utetezi) kwenye maombi ya rufaa namba 344  yaliyopo Mahakama Kuu kuhusu kufutiwa dhamana kwa washtakiwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (Mb) na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko. Upande wa Jamhuri umeiomba Mahakama ya Rufaa kuamuru maombi hayo 344 yatupiliwe mbali na Mahakama Kuu kwa sababu

 

10 years ago

BBCSwahili

Mahakama kuamua kuhusu kesi ya Mubarak

Mahakama nchini Misri inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu kesi inayomkabili rais wa zamani wa nchi hiyo Hosni Mubarak

 

10 years ago

BBCSwahili

Mahakama yaagiza wanawe Mubarak waachiliwe

Mahakama nchini Misri imeagiza kuachiliwa huru wa wana wawili wa kiume wa rais aliyeng’olewa mamlakani Hosni Mubarak.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kesi dhidi ya Mubarak yatupiliwa mbali

Mahakama moja nchini Misri imetupilia mbali kesi dhidi ya aliyekuwa rais wa taifa hilo Hosni Mubarak

 

11 years ago

BBCSwahili

Sisi hataingilia uamuzi wa mahakama

Rais Abdul Fattah al-Sisi amesema kuwa hataingilia kati uamuzi wa mahakama kuhusu kufungwa jela kwa wandishi 3 wa Al-Jazeera.

 

10 years ago

Mwananchi

Ripoti ya uamuzi wa mahakama Burundi yakamilika

Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamepokea na kujadili ripoti ya hali ya kisiasa ya Burundi iliyotolewa na wanasheria waliotumwa nchini humo kuchunguza namna Mahakama Kuu ilivyofikia uamuzi wa kumruhusu Rais Pierre Nkurunziza kuwania kiti hicho kwa awamu ya tatu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mahakama Uturuki yaitisha uamuzi kuhusu Gollum

Mahakama moja nchini Uturuki imeagiza uchunguzi ufanywe kubaini sifa za mhusika mmoja katika filamu za Lord of the Rings ajulikanaye kama Gollum.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani